Ushauri kuhusu course ya kusoma

Oct 19, 2019
5
2
Wakuu habari zenu ni matumaini yangu wazima wote naombeni ushauri wenu kulingana na soko la ajira Tanzania nimechaguliwa kusoma diploma in computer engineering science kati ya course tatu nilizoomba yaani computer engineering science, electrical & electronic engineering na civil engineering zote diploma na nazipenda pia je nikasome nilichochaguliwa au nikabadili course
ahsanteni
 
WANAKUJA KUKUPA MWONGOZO.
 
Hii itakua st joseph... Kama ikiezekana nenda civil ila ikishindikana usiumize kichwa komaa na CE, then jitahidi uwe fiti kwenye programming...

Na challenge uliyo nayo ni utakapo fika chuo wenzako wataanza kukuchimba mkwara kwamba CE haina soko bongo na bla bla nyingi tu..

Calm down .. Good thing about CE ni kwamba ukiwa fiti u can work anywhere ukiwa fiti kwenye coding. Its you and your pc/laptop plus bundle and brain!!
 
Nashukuru sana mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom