TZS 350 X 200 = TZS 70,000Niaj wadau,
Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi kununua gunia la nazi na kila gunia moja zinaingia nazi 200 na kwa bei ya kule aliyoniambia kuwa nazi moja unauziwa kwa 350 Tsh kwahikyo tathmin kwa gunia moja si chini ya 200,000 Tsh...
TZS 350 X 200 = TZS 70,000
Wewe hiyo TZS 200,000/= umeipataje?
Ukifeli hesabu ndogo hivi utaweza kweli biashara yenyewe??
View attachment 1705531Dalali hayuko mbali, anangoja akunyonge
Duh,Hiyo nmeeka km ziada kwasababu nazi zimetofautiana ukubwa sio kila nazi utauziwa 350,unauziwa kutokana na ukubwa wa nazi
hadi ile mwaka jana mwishoni bei ya nazi ilikuwa tsh 100 kwa nazi moja
Ila tokea 70,000 mpaka 200,000 almost 190%??Hiyo nmeeka km ziada kwasababu nazi zimetofautiana ukubwa sio kila nazi utauziwa 350,unauziwa kutokana na ukubwa wa nazi
Kumbe ww unafanya biashara nyingi tupe detail gharama za kupeleka hukoKule Same nazi hadi mia 200 unapata ..nilikuwa napeleja namibia kipind fulani kulikuwa na soko kule ila mambo ya korona dah ..biashara imesimama sasa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Usijiulize sana unapotaka kufanya biashara we jilipue tu somo utalipata uko uko, usiiogope pesa tumeikuta duniani mkuu,Hapana ndugu ila ndio nipo katika maandalizi