Biashara ya nazi Kilwa

Isaya wa njombe

Senior Member
Apr 2, 2023
181
325
Habari ya asubuhi,

Nataka kupata uzoefu wa biashara ya. Nazi kuna jamaa yangu alinambia kule Kilwa nazi bei yake ni Tsh. 650-700.

Natamani nifanye biashara hiyo nikachukue kwa bei ya jumla nilete DSM hivyo nashani humu kuna wazoefu naomba kama wanaweza kunipa ABC za hasara na faida.
 
Kuna vijiji kama unaelekea Kipatimu (Nasaya, Mamayuni) bei za nazi ni nusu ya hiyo uliyotaja hapo juu usafiri upo kuanzia Njia 4 (10km kutoka Somanga) kuelekea maeneo hayo.
 
Habari ya asubuhi,

Nataka kupata uzoefu wa biashara ya. Nazi kuna jamaa yangu alinambia kule Kilwa nazi bei yake ni Tsh. 650-700.

Natamani nifanye biashara hiyo nikachukue kwa bei ya jumla nilete DSM hivyo nashani humu kuna wazoefu naomba kama wanaweza kunipa ABC za hasara na faida.

Habari yako mkuu.

Biashara ya nazi ina faida yake endapo utapata mtu mwaminifu wa kukusaidia kununua nazi zilizokomaa vizuri . Ukipata nazi nzuri unaweza nunua 650 au 700 ukauza 1200-1400 kwa bei ya jumla.

Vile vile ina hasara zake maana ukiwa huna uzoefu na nazi, unauziwa nazi zilizovundikwa ambazo hazijakomaa ukizivunja unakuta ndani ni madafu matupu hapo unakuwa umepigwa na wengi wanapigwags hivyo. Pia hakikishs hazilowi wala kugusana na maji hata kidogo na uhakikiahe zina pata hewa vizuri kwenye magunia laasivyo zinaozs ndani unakula hasara.

Nasisitiza nenda kununua na mtu mzoefu na mwaminifu anayeweza kutambua nazi iliyokomaa na ambayo imevundikwa tu bila kukomaa.
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri..
 
Dah ama kweli kwenye kila biashara kuna taaluma yake.
Kumbe hadi nazi huwa zinavundikwa yaani sikuwahi kujua hili jambo

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ingawa sipo huko kwa sasa ila ninaweza kukuelekeza ukafika kufanya survey kwanza mwenyewe kabla ya kuingia full uzuri ni kwamba panafikika na măgari yapo yanabeba kwa wingi nazi
Shukraani kiongozi, namimoi nahitaji maelekezo hayo ,nahitaji biashara hiyo
 
Back
Top Bottom