Ushauri kuhusu biashara ya nazi kwa gunia

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,009
2,000
Niaj wadau,

Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi kununua gunia la nazi na kila gunia moja zinaingia nazi 200 na kwa bei ya kule aliyoniambia kuwa nazi moja unauziwa kwa 350 Tsh kwahikyo tathmin kwa gunia moja si chini ya 200,000 Tsh.

Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, Kkigamboni ambapo baada ya kuchukua mzigo wako unapekeleka kwa madalali soko la Ilala then mnapiga tathmin kwa bei moja ya nazi kwa dsm ni 600 mpk 1000, sasa nilikuwa naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo wazoefu hii imekaaje?
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,435
2,000
Niaj wadau,

Najua saivi life liko mbaya sana pesa zimekuwa adimu michongo imekuwa adimu sana kuna wazo nilipata juzi nilipewa na rafiki angu ambae yupo Lindi akanipa mchongo wa kwenda lindi kununua gunia la nazi na kila gunia moja zinaingia nazi 200 na kwa bei ya kule aliyoniambia kuwa nazi moja unauziwa kwa 350 Tsh kwahikyo tathmin kwa gunia moja si chini ya 200,000 Tsh...
TZS 350 X 200 = TZS 70,000
Wewe hiyo TZS 200,000/= umeipataje?
Ukifeli hesabu ndogo hivi utaweza kweli biashara yenyewe??
 

Old guard

JF-Expert Member
Dec 15, 2020
1,009
2,000
TZS 350 X 200 = TZS 70,000
Wewe hiyo TZS 200,000/= umeipataje?
Ukifeli hesabu ndogo hivi utaweza kweli biashara yenyewe??

Hiyo nmeeka km ziada kwasababu nazi zimetofautiana ukubwa sio kila nazi utauziwa 350,unauziwa kutokana na ukubwa wa nazi
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,435
2,000
Hiyo nmeeka km ziada kwasababu nazi zimetofautiana ukubwa sio kila nazi utauziwa 350,unauziwa kutokana na ukubwa wa nazi
Duh,
Yaan 200,000 - 70,000 = 130,000/= ziada yote hii?
Haya bana, kila la heri.
 

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
16,941
2,000
Kule Same nazi hadi mia 200 unapata ..nilikuwa napeleja namibia kipind fulani kulikuwa na soko kule ila mambo ya korona dah ..biashara imesimama sasa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,753
2,000
Hiyo nmeeka km ziada kwasababu nazi zimetofautiana ukubwa sio kila nazi utauziwa 350,unauziwa kutokana na ukubwa wa nazi
Ila tokea 70,000 mpaka 200,000 almost 190%??
Hii ni economical financial risk analysis kali!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom