Ndio wanataka uwe na uwezo wa kuagiza angalau lorri moja.shukrani, nafikiri hii ya kutoka kiwandani lazima uwe vizuri kimtaji coz nafikr watakutaka uchukue mzigo mkubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwandani unaenda unaomba kuonana na meneja masoko kisha mnakaa mezani mnazungumza
AhsanteKiwandani unaenda unaomba kuonana na meneja masoko kisha mnakaa mezani mnazungumza
Maana kila kiwanda na taratibu zake
Ukizungumza na meneja mauzo ndio atakufanya ujue nini ufanye
Pamoja mkuu
Pamoja mkuu
Mkuu sijawahi kuifanyalakin mkuu, unasikiaje kuhusu hii business, watu wanafaidika vizuri au maumivu ni mengi kuliko manufaiko yake..???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijawahi kuifanya.
Ila kwa maeneo nilipo wapo wanao fanya bishara hiyo ila wao ni mchanyiko na bidhaa zongne
Biashara za vinywaji kama maji naona wengi wanaweka cha juu sh.700 Ila upande wa soda sijafuatilia
Changamoto ninayo iona kwa hawa wa huku ni kuwa wakala anakupa mzigo na kisha anawasambazia hata unao wasambazia wewe hapa ndipo kudoda kwa biashara kuna kuwepo ila kama ukaweza kuenda vizur na wateja wako nadhani mafanikio yapo
Akumbuke tu kutovaa mashati ya mikono mifupi anapokutana na meneja masoko au mauzo.Kiwandani unaenda unaomba kuonana na meneja masoko kisha mnakaa mezani mnazungumza
Maana kila kiwanda na taratibu zake
Ukizungumza na meneja mauzo ndio atakufanya ujue nini ufanye
Upo dsm? Nina exipiriens ya Dar
Ila ni kupambana maana ukiogopa changamoto huwez kufikayah hata mimi ndio changamoto moja nilioiona..kwamba wakala anakuuzia ila wakala huyo huyo ndio anatembezea wafanya biashara wadogo.. daah
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah mkuu ufafanuzi kwa shati la mikono mifupi.Akumbuke tu kutovaa mashati ya mikono mifupi anapokutana na meneja masoko au mauzo
Upo dsm? Nina exipiriens ya Dar
Hapa nina mwanangu mshkaj anapiga iyo biz so ninaielewa
Yeye kwanza alianza kidogo kidogo then akajiimarisha now ana godauni tatu, moja bia na soda za jumla, la pili maji tupu ya azama,mo, na la tatu ndo kubwa juisi tupuu ilo analipa 2.7laki kwa mwezi ayo mengine 1.5laki,
Huyu jamaa yeye anaingia kwa mo anachukua fuso zima lina juisi 2000-2050 hivi hapa mzigo mkubwa ukiwa ni MO ENERGY, kwanini mo enegy ni nyingi maana ndo bizaa inayopendwa kwa dar so inauza na bidhaa zingine,
Rough kwa fuso kutoka kiwandani ni kama 5.somthing million toa garma za usafirishaji to store kama laki 2-3.,
Yeye kwa pakti /dazen anapata 1000-1500faida bila kodi hapo, huyu ye ni mabu mashi nikamsahuri awe hata na mashine ya efd,
Anatafuta masoko yeye na vijana wake na anadeliver chap chap kama akideliver fee ni mia kwa dzen kama ni nying na mbali kama ni karibu basi ni bure,
Pia amejenga uaminifu na wateja wake anaepeleka mzigo mshiko anweza chukua nusu nusu kesho kulingana na mteja wake anavyosema
Vinywaji vingine pia anauza ila vile vinavyopendwa sana ndo anachukua vingiii,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni kupambana maana ukiogopa changamoto huwez kufika
Yesdah, mkuu umenipa mwanga sana, aisee. Kumbe 5ml inaweza kukuletea mzigo (fuso) kutoka kiwandani..ok.
Sent using Jamii Forums mobile app
daah mkuu ufafanuzi kwa shati la mikono mifupi