Ushauri kuhusu azma ya kufufua ranchi za taifa

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
May 14, 2015
4,912
3,991
Wakuu poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia wakati sasa rais kutekeleza azma ya kufufua ranchi za taifa ambazo azifahamiki nani anzimiliki na kibali alikipata kihalali au kwa nguvu ya madaraka? Pia nitoe rai kwa waziri husika kulifanyia kazi swala hili kuahakikisha zile zachi za kule manyara na kwingineko zinarejea mikononi mwa serekali ikumbukwe mifugo ni chanzo kikubwa cha ustawi wa taifa hili.
Pia tukumbuke ranchi hazi za taifa nyingine ni magodauni ya wafanyabiashara, uchungu wa kupoteza ranchi hizi ni moja ya chanzo cha kufifia viwanda vya kusindika ngozi na nyama ewe magufuli lifanyie kazi hili

By gilbert massawe
 
Nadhani si vibaya kabla ya kuwarushia wanaJamii kuupitia uzi kama maneno yamekaa sawa japo kukosea kupo kwa sisi wanAdam!
 
Back
Top Bottom