Popo bawaa
Member
- Apr 19, 2016
- 47
- 2
Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi? Maana nina hali mbaya kisura.
Umepata Suluhisho la tatizo lako??Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi? Maana nina hali mbaya kisura.
Kuna kaka mmoja yupo kwenye kampuni moja kubwa hivi ya kimarekani ambayo pia ina deal na products za urembo.forever living hapana
Mtafute kwa hii namba 0752134333 atakusaidia. Be confident, mwambie unachohitaji.
Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaaKwa ngozi tumia rapid clair na kwa nywele tumia kuza.
Inapatikana kwenye maduka ya vipodozi,ndiyo inafaa kwa ngozi yoyote.Rapid Clair inapatikana wap... Ni ngoz yoyote inafaa