Ushauri kuhusu $ 47000 za kimarekani !! ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kuhusu $ 47000 za kimarekani !! ?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ze duduz, Jul 20, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Jamani nina kiasi hiki cha pesa $47000 kwanza kabisa ningependa kujua ni sawa na shilingi ngapi? Za kitanzania pili ningependa kuomba ushauri nifanye biashara gani? Kwa kiasi hiki cha pesa..!!
  Mawazo Yenu wakubwa wa JF
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Dola $47000izo ni ni zaidi ya tsh.70,000,000/= wekeza hisa kwenye makampuni, fungua biashara ya duka la vyakula !
   
 3. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kudadeki am rich thanx 4 your advce
   
Loading...