Tafadhali Waziri wa Ulinzi jitokeze hapa JamiiForums na Verified Account yako nikupe Suluhu ya Kudumu ya Bifu la Wananchi na Wanajeshi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
GENTAMYCINE sijapewa Utajiri wa Kiuchumi ( Fedha ) na Mali, ila kwa Kujiamini kabisa Utajiri mkubwa niliopewa na Mwenyezi Mungu ni wa USHAURI, DIPLOMASIA na UPEO ( FIKRA ) pana.

Sijaanza leo hii Kusikia kuwepo kwa Chuki Kubwa ( Mabifu ) kati ya Raia na Wanajeshi au Wanajeshi na Raia katika maeneo mbalimbali hapa Tanzania.

Na kama kuna Faida Kubwa GENTAMYCINE ninayo ni uwezo mkubwa wa KUJICHANGANYA na KUKUBALIKA na Makundi yote ( Kada zote ) za Kimamlaka na wana Jamii ( pasipo Wao kujua kuwa waliyenae ndiyo GENTAMYCINE Mimi Captain wa wana JamiiForums wote ) hali ambayo inanipelekea Kuyajua yao mengi hata yale ya HATARI na YALIYOJIFICHA kabisa.

Hivyo basi kama ambavyo GENTAMYCINE nilitoa Ushirikiano wangu mkubwa hivi majuzi hapa kwa Waziri Dkt. Gwajima D Kuhusiana na Jambo Mtambuka lililokuwepo na Kuyapokea niliyomshauri basi kutokana na hali kuendelea kuwa mbaya namwomba Waziri wa Ulinzi Stegormena Tax ikimpendeza nae aje na Verified Account yake hapa JamiiForums na awe Active ili nimpe Ushauri wangu wa nini cha kufanya kwani taratibu na kwa hali ilivyo kuna TAA NYEKUNDU ya HATARI naanza kuiona huko mbeleni kati ya RAIA wa Tanzania na WANAJESHI kwani kuna KIINI cha tatizo kinachopelekea hali hii nimekigundua Kiuchunguzi.
 
Yupo Twitter/ X. Japo nadhani hili ni suala la CDF.
 
Back
Top Bottom