Ushauri,Kuhudhuria Interview PPF

mayowela

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
2,124
1,747
Habari za muda wadau,kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili PPF jumammosi nafasi Operations trainee,ila kuna issue ambayo anafatilia na inaanza wiki ijayo jumanne na itachukua muda wa mwezi mmoja,kimsingi ni mishe ya uhakika,tatizo ni siku ya kuanza semina ya issue hiyo ambayo inaweza ikawa alhamisi na ijumaa,Je atoroke aende kwenye interview then arudi kwasababu yuko mkoani............Ushauri tafadhari pia kwa mwenye kujua Interview za PPF zinakuwaje atoe msaada,..NAWASILISHA
 
Pima na utafakali kwa makini, hizi kazi za PPF zinawatu, wameita tu kwa ajiri ya kutimiza sheria. Shikilia panapoeleweka usije ukakosa pote.
 
Pima na utafakali kwa makini, hizi kazi za PPF zinawatu, wameita tu kwa ajiri ya kutimiza sheria. Shikilia panapoeleweka usije ukakosa pote.
shukrani kwa Ushauri wako mzuri mkuu kamazari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom