Ushauri: Kufanya mapenzi baada ya ndoa, naona kama nashindwa

Ushauri: Kufanya mapenzi baada ya ndoa, naona kama nashindwa

Ila kiukweli vijana tulioamua kuokoka tuna changamoto na hasa km hulijui neno! Lkn ukijua neno na kutiisha hizo hisia zisubiri na ukiwa busy huwezi kuteseka!
 
Kwa ndoa bado mdogo,kama kweli umeamua kuismamia imani yako huna budi kuyashinda majaribu, na utakutana nayo mengi ila kwa nguvu ya imani yako utayashinda....Fanya hivi; hako kademu pga chini, mana kama hutagonga watakusaidia wengne...then,concentrate kwenye mambo yako(masomo). Elewa,hamna hasara ktk kusubiri...zaid inakujengea kujiamini na kuwa disciplined.
 
Ila kiukweli vijana tulioamua kuokoka tuna changamoto na hasa km hulijui neno! Lkn ukijua neno na kutiisha hizo hisia zisubiri na ukiwa busy huwezi kuteseka!

Mungu azid kukutangulia,akujaze baraka wengne wakuige
 
hivi anayetakiwa ku do ni nani.......ukristoau uislamunaruhusu ku do kabla kablaya ndoa...hapa ishu sio ulokole kwanza......nataiwa nioe nido na mi kijana so siwezikuwa malaika kujizuia miaka namiaka....so me na do labda wewe unaruhusiwa kudo kabla ya ndoa
 
Wakuu msaada.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.

Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.

Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
Mlokole wa kweli asingeleta humu hii hoja, angekaa na mungu wake na nna uhakika mungu asingemuacha!
 
Kata dushe ubaki na ulokole wako,
Unafikiri Mwenyezi Mungu alikupa dushe ili utundikie makoti??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Dogo wewe ushazini tayari. Mbele za mungu una dhambi tayari. Au hujui kuwa kuna namna tatu za kuzini? Kuna:-
1. Kuzini kwa mawazo
2. Kuzini kwa maneno
3. Kuzini kwa matendo (kuingiza kisu kwenye ala)

Wewe ushazini kwa na 1 na 2. Na kwa mungu dhambi zote ziko sawa.
Ushauri wangu kwa kuwa ushazini kwa mawazo na maneno na kwa kuwa utamu hukupata. Na kwakuwa dhambi ushapata ni bora ukafanya kwa matendo ili upate na utamu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe mlokole ushauri unaomba hapa? Kwnn hujaomba Kwa mchungaj wako?hapa jibu utakalopewa ni ufanye uasherati na si vinginevyo
Kama hapo [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Dogo wewe ushazini tayari. Mbele za mungu una dhambi tayari. Au hujui kuwa kuna namna tatu za kuzini? Kuna:-
1. Kuzini kwa mawazo
2. Kuzini kwa maneno
3. Kuzini kwa matendo (kuingiza kisu kwenye ala)

Wewe ushazini kwa na 1 na 2. Na kwa mungu dhambi zote ziko sawa.
Ushauri wangu kwa kuwa ushazini kwa mawazo na maneno na kwa kuwa utamu hukupata. Na kwakuwa dhambi ushapata ni bora ukafanya kwa matendo ili upate na utamu
 
Wakuu msaada.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.

Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.

Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
dogo fanya kama dini yako inavyokuongoza. mshinde shetwani
na kuna mengine mengi mengi magumu yatakuja
 
Wakuu msaada.

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.

Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.

Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
Pole sana mkuu najua ni jinsi gan upo njia panda but naomba nikupe kisa changu ambacho kipo sawa na chako mimi pia nilijiwekea Nadhiri moyoni kwangu kwamba sitokuja kufanya mapenzi paka nitakapo ingia ndani ya Ndoa nikajitahidi paka nilipofikisha miaka 22 nikajaribu kuingia kwenye mahusiona na binti mmoja hivi niliyekutana naye secondary na tulikubaliana kwamba hatuto sex till tufunge Ndoa mahusiano yetu yalianza baada ya kumaliza shule mimi nikiwa chuo mwaka 2 kuna kipindi mambo yaa kiimani yalinibana sana ikabidi nimpe kidogo break huyo binti japo tulikuwa bado tupo kwenye mahusiano ebhana nilipokuja kurudi sikuamini nilichokikuta nikakuta wahuni wameshapiga mda tuu na wameshapotea i mean wali mbikiri aisee niliumia sana sana na kuniachia kovu ambalo sitakuja kulisahau katika moyo wangu nikaaamini huuu msemo.........Girls are like mangoes, while you are waiting for them to be ripe, others are eating them with salt..... Na till today cjapata girl kama yule tena kuanzia tabia etc na sikuweza kuendelea naye tena kwa sababu nikaona ni kama nitakuwa naudanganya moyo ki ukweli niliumia sana kuanzia hapo nikaanza kupoteza dira nikaingia kwenye mahusiano mengine na kujikuta nadondokea kwenye unzinzi nilijilaumu sana any way past is past let it pass ninachotaka kukwambia mkuu hakuna mahusiano yanayoweza kwenda bila kugegedana labda kwenye mia 1 ushauri wangu mkuu Achana na huyo msichana mara moja kwa sababu naaamini dhambi ya unzinzi haikemewi inakimbiwa tuu ndo maana hata yusuph alikimbia hii itakusaidia kuepukana na fezea majuto na maumivu kama yangu ambayo naona yatakutokea mda si mrefu kwa sababu kwenda kinyume na plan zako it's pain but kuchapiwa mkuu inauma zaidi asikwambie Mtu huwezi kuwa na mtu in relationship mnaangaliana kama dada na kaka ni ngumu dhambi ina nguvu inakuvuta taratibu mara leo romance kesho braaaaa........ Kesho mpira nyavuni kunakuwa hakuna naaamna... Na muonja Asali atataka kuonja tena...
NOTE
nimeongea haya hili kukujenga mkuuu na siyo kubomoa nakutakia utekelezaji mwema. [emoji120]
 
Back
Top Bottom