Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
Dogo kaza hvy hvy mpaka uoe..
MsukumaBlaza ww ni Kabila gani?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] baba mchungaji katika ubora wakoImeandikwa "Amtafakarie Mungu atapata mema.
Acha hayo mawazo huo no mtandao Wa shetani ili akuaharibie na akuamishe kwny Kusudi la Mungu. Nenda sana knsn, kaa kwny maombi, mwabudu na msifu Mungu , soma Bible na utafakari Neno LA Mungu, hapo utashinda maana shetani hatapata nafasi ya kuingiza mawazo yake.
Mm nimeweza na Nina miaka SITA (6) bila mwanamke, acha kuckiliza miziki ya kidunia maana iyo inaleta uwepo wa kishetani.
Ninakuombea sasa: Kwa mamlaka ya Jina LA Yesu ninakata izo nyaya za mawasiliano ya kipepo zilizounganishwa na ufahamu kwa Damu ya YESU KRISTO, tangu nakuunganisha na mtandao Wa Mbinguni kwa Jina LA Yesu Kristo, nimeomba. Amen
Mkuu hatujadili mambo ya kitoto huku jiongeze, ukigonga unakuja huku nenda face book au group zenu za whatsap.Wakuu msaada.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.
Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.
Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
kWakuu msaada.

kwa nini umeanza mahusiano mapema hivyo wakati unajua kabisa ndani ya mahusiano kuna kugegeda?Wakuu msaada.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.
Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.
Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
pastor nashndwa kuwashikjsha wachungaji nahc wanaweza nifikiria vbaya
[emoji122] [emoji122] [emoji122] baba mchungaji katika ubora wako
Nimeelewa mtumishiNdio kazi yangu km Mchungaji, nipo kwa ajili ya:
Kufundisha.
Kushauri
Kuonya
Kukemea
Lakini Valentina umeelewa hapo???????
Wewe mlokole ushauri unaomba hapa? Kwnn hujaomba Kwa mchungaj wako?hapa jibu utakalopewa ni ufanye uasherati na si vinginevyoWakuu msaada.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.
Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.
Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
Nenda Kwa Mchungaji wako sio hapamkuu kikubwa nahtaji msaada wa ushauri coz nko in bad situation
Ni dhambi, tena usithubutumkuu punyeto si dhambi wakuu...
ME PIA NI MLOKOLE, KUNA CHANGAMOTO HAPO SINA CHA KUKUAMBIA HASA ZAID YA KUSEMA DO WHAT YOU THINK IS BEST...ILA HAIMANIISHI USIPOFANYA NDIO UTAKUWA IN SAFE SIDE...YANI COMPLICATED SANA....MI NILICHELEWA KUANZA ILA SIKU NILIJARIBU NILIFAIL KUMBE UOGA...IKAJIRUDIA NIKAONA BALAA SASA NIKALIVALIA NJUGA NKAJA KUWEZA NKAWA FUNDI NOW NIPO TU NAFANYA KWA ZALI NIKIBAHATISHA KUTEMBELEWA.....BALAA NI PALE MAKANISANI WDADA WANAFANYA SANA SOUSICHANYIKIWE KILA UKISIKIA UNAYETAKA KUOA UKAPATA SIFA MBAYA ZAWDADA MAANA KAWAIDA SANAWakuu msaada.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.
Lakini nowdayz nimekuwa katika hisia kali za kuhitaji fanya mapenzi na ninaona nitashindwa kujizuia kwa kuwa nimeshaanzsha mahusiano na
msichana lakini siko tayari kufanya hali nahitaji.
Msaada kwa waliowahi pitia situation hii na kushinda
ME PIA NI MLOKOLE, KUNA CHANGAMOTO HAPO SINA CHA KUKUAMBIA HASA ZAID YA KUSEMA DO WHAT YOU THINK IS BEST...ILA HAIMANIISHI USIPOFANYA NDIO UTAKUWA IN SAFE SIDE...YANI COMPLICATED SANA....MI NILICHELEWA KUANZA ILA SIKU NILIJARIBU NILIFAIL KUMBE UOGA...IKAJIRUDIA NIKAONA BALAA SASA NIKALIVALIA NJUGA NKAJA KUWEZA NKAWA FUNDI NOW NIPO TU NAFANYA KWA ZALI NIKIBAHATISHA KUTEMBELEWA.....BALAA NI PALE MAKANISANI WDADA WANAFANYA SANA SOUSICHANYIKIWE KILA UKISIKIA UNAYETAKA KUOA UKAPATA SIFA MBAYA ZAWDADA MAANA KAWAIDA SANA