Ushauri: Kufanya mapenzi baada ya ndoa, naona kama nashindwa

Ushauri: Kufanya mapenzi baada ya ndoa, naona kama nashindwa

Sasa tumpe moyo kwan ana tatizo gan??...alafu watanzania ni wapenda cover-ups sana....kijana mwambie ukweli ajue hali halisi ya maisha...hii dunia ya sasa hivi imeharibika
Mwambie jitunze usifanye Ngono vuta subra ...kama hivoo...
 
Siku ukianza kufanya mapenzi, kwa utamu utakaopewa na mwanamke mzoefu,utakuwa malaya sana... ulokole wote utaweka pembeni.. hadi 0713 utatumia...
 
Hilo neno "ulokole" usiwe unalitaja. Unaaibisha bure, hakuna mafundisho ya kilokole yanayoruhusu mahusiano kabla ya ndoa.

Nakushauri uachane na hiyo dini utafte dini zingine ili uwe huru.
 
Hutoweza mpaka ndoa hapo unamiaka 8 mbele nakushaur uoe tu mapema nw kulinda iman yako maana ushabalehe nw
 
Kuna mstari(?) huwa unasema; kama kiungo chako kimoja kinataka kukukosesha kuuona ufalme wa mbinguni, ni bora kukikata na kukitupilia mbali. Kitu kama hicho.

Seriously tho, kama imani yako si ya mashaka, mkemee shetani tu kwa nguvu zote na utafika. Good luck, brother.
 
20yrs sio kitu wewe bado hujafikia hatua ya kujivunia, watu tuna 25-26 na tupo sealed hakuna cha tamaa wala nin na lyf linaenda,. so shika msimamo wako km wanawake wapo wengi na mapenzi yanaibuka mapya kila ck
 
sio lazima ufanye mapenzi piga nyeto, mi nilipga nyeto badae nikaoa.sema ukiwa unapiga nyeto husiiangalie mashine angali juu, ukiangalia mashine inaweza kata gafala
 
kama hiyo bikra unaitunza hili uingie nayo mbingun hapo sawa but kama n kwa mwanamke nakushauri anza kugonga mapema,uyo unaemtegemea inawezekana katoa had bikra ya nyuma
 
Hilo neno "ulokole" usiwe unalitaja. Unaaibisha bure, hakuna mafundisho ya kilokole yanayoruhusu mahusiano kabla ya ndoa.

Nakushauri uachane na hiyo dini utafte dini zingine ili uwe huru.

mtu kama ww sio wa kuomba ushauri haujui changamoto gani vijana tuliokoka tunapitia kanisa limekaa kimya halisemi chochote juu ya mahusiano na vijana tumejikuta tunaingia kwenye changamoto ninachoitaji ni msaada coz nipo in bad situation...
 
Kata dushe ubaki na ulokole wako,
Unafikiri Mwenyezi Mungu alikupa dushe ili utundikie makoti??
 
Kwanza kwa mujibu Wa masuala ya kiroho umefanya kosa kuomba ushauri hapa jf wkt tatzo lako linahtj Nguvu za Kiroho.

Kama Mchungaj ninakuonya km kweli umeokoka, waache wengine waulize ili sisi ndio tuwape majibu.
 
pastor nashndwa kuwashikjsha wachungaji nahc wanaweza nifikiria vbaya
 
Back
Top Bottom