Ushauri kubadili kada

Harmoraj

Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
50
Reaction score
54
Mm nimeajiriwa kama mwlm ngaz ya cheti ila sitak kuendelea na ualim saaa n kozi gan naweza kujiendeleza nayo ambayo huwa ina nafasi za kazi zaidi msaada wenu wadau
 
Nenda kwny siasa uko utatoka sn si unaona watu na taaluma zao km kina dr molel ,dr kigwangala nk wamezitema professional zao wanakula kiyoyozi
 
Jamii forum imekuwa ya kipuuzi sana badala ujibu hoja ya mtoa mada unatoa disi fuc$ all of you..... Mliotoa disi

Mwamba kasome mambo ya afya kama clinical au pharmacy.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…