kumbe unacheki maslahi ya jamiii....?kwan akishajua kwamba unatatizo unapungukiwa na kipi..kama mambo yamekufika shingoni tiririKA tu..knowing the truth..brings no harm...to any one...Habari zenyu binafsi wanajamvi Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel:
Ndio Maana few know me..and i am not posting my staff anymore....:A S-heart-2:
kumbe unacheki maslahi ya jamiii....?kwan akishajua kwamba unatatizo unapungukiwa na kipi..kama mambo yamekufika shingoni tiririKA tu..knowing the truth..brings no harm...to any one...
Ngoja nikuulize,
Kwani kwenye real world wale unaofahamiana nao huwa huwaambii matatizo yako? Sijui kama nimeeleweka.....say, una shoga ako anaitwa Halima ambae huwa mnakutana kitaa! Je, huwezi kumuambia tatizo lako?! Sizani kama jibu lake hapo ni NO....! So, kama kuna anakufahamu live na unampa issue zako live....kuna tofauti gani na kusema hapa JF?! We funguka tu aisee, by the way, tayari umeshafunguka nusu na jamaa washajiambia "khaa, kumbe kujishembendua kote ana maproblem!"
Kupitia experience unaweza mjua na kumtambua mtu anayeweza kukusaidia japo hamjuan,so bora uende direct inbox/pm
Habari zenyu binafsi wanajamvi…… Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel:
Hapa kuna utata sana
1. Kufahamiana ni jambo jema sana
2. JF ilikuwa/inaendelea kuwa nzuri kwa wale wasiofahamiana na wana shida kama ambazo umezidadavua hapo kwenye mada yako.
3. Ningetamani kama JF ingeendelea kuwa na members wasiofahamiana ili kuwa na michango na topics zisizo na aibu wala kificho.
4. Ila bado nasisitiza kufahamiana ni jambo jema ingawa lina changamoto zake hasa kwenye mitandao kama JF maana linaondoa uhuru wa kujieleza
Pole sana mpz basi ukiwa na shida m PM docta wa umu au mtu unayemuona anabusara ivo anakujibu
Nje ya topic nimekumiss sana
Unamaanisha tuwe na multiple ID???
Mkuu kwanza samahani kwani umenielewa vibaya....Sijasema mifano hiyo niliyotoa hapo juu inanihusu... Je unaelewa maana ya mtu kusema "Kwa mfano" ?????
Pili, Katika vitu ambavyo sitokaa niamini katika dunia hii ni urafiki wa kiambizana kila kiendeleacho katika maisha yangu. Nina mifano mingi ya marafiki walio kuwa close sana ila baada ya kutofautiana walianza kutangazana, hata wewe nahisi ushaiona mifano hiyo katika jamii inayokuzunguka na hata katika media....
Tatu, Hapo kwenye red hizo ni dharau mkuu. Unaposema najishebedua una maana gani??
Labda nikupongeze wewe usiyekuwa na matatizo katika dunia hii. Hongera sana....
Habari zenyu binafsi wanajamvi Natumaini mko pouwa!!!!!!
Kutokana na kufahamiana mpaka kukutana na baadhi ya memberwa JF, nimekuwa nikipata shida katika kuomba ushauri wa baadhi ya mambo. Mfano1: Nina tatizo la kiafya na ninataka kuomba ushauri, nashindwa kufanya hivyokwa sababu unakuta flani ananifahamu kiuhalisia. Atajua kwamba nasumbuliwa natatizo Fulani la kiafya kitu ambacho sitopenda mtu mwingine afahamu zaidi yamshauri (Daktari).
Mfano 2: NInaweza kuwa na tatizo katika mahusiano yangu auhata kifamialia na ninahitaji ushauri , nashindwa kuomba ushauri kwani kila anayenifahamu kiuhalisia atajuakuwa nina tatizo katika mahusiano yangu au familia yangu.
Wadau, nifanyeje ili nisijulikane wakati Mods wanapingaissue ya kuwa na multiple IDs???????
(Nahisi pia kuna watu watakuwa na tatizo kama langu)
Wabheja sana!!!!! :A S angel:
how?????????Dah Charminglady hii issue hata mie inanitishia amani kama ww naogopa kuweka mambo hadharani hasa kwa watu wanaonifahamu, huwa nafikiria kufungua id mpya lakini nahisi zitaunganishwa lol poor me.