BB Pharma consultancy Ltd
New Member
- Jan 24, 2017
- 4
- 2
Hodi wana JF,
Nasi tunapenda kuingia katika ukumbi huu wa GT.
BB Pharma Consultancy Limited ni kampuni ya kitanzania inayotoa msaada wa kitaalamu katika masuala ya usajili wa bidhaa na huduma za afya.
Kwa ufupi huduma zetu zimejikita kwenye maeneo yafuatayo;
1. Kusaidia usajili wa bidhaa za afya (healthcare products) kama vile dawa za biadamu na mifungo, vipodoozi, vifaa tiba n.k
2. Kusaidia usajili of eneo la biashara (registration of business premises) kwa ajili ya Famasi (duka la dawa na duka la dawa muhimu), ghala kwa ajili ya kuhifadhia dawa au vifaa tiba, vipodoozi na biadha nyogeza (Herbal Medicines).
3. Kusaidia usajili na usimamizi wa hatua za mwanzo za uanzishaji wa taasisi ya elimu kwa upande wa maswala ya afya kwa ujumla wake.
4. Kusaidia usajili na usimamizi wa hatua za mwanzo katika uanzishaji wa viwanda vidogo na vikubwa vya biadhaa za afya; dawa, vipodozi, vyakula n.k.
Tunaomba mtupokee na kutupa ushirikiano.
Asanteni.