Ushauri katika hili-yamenikuta!

Hizo sisi huita za mwizi arobaini,huyo ni kawaida yake kuchet,na olewenu mshiriki ktk dhambi ya utoaji mimba, hiyo dhambi itawatafuna milele.let them to take care of their pregnancy.
 

Achana nae kwani huyo shetani aliemkumba si mdogo! Hilo ni Shetani hasa ukitilia maanani wewe pengine ulitumia kipindi kirefu kumwingiza kwenye line, lakini huyo shetani kaweza siku hiyohiyo moja.
 
Hapo ni kuchukua ha2a 2 moja kwa moja mda wa tafakari ulishakwisha
 
Mimi ushauri wangu unaegemea kwenye user name yako. Mtoto wa kiume utajiitaje blauzi??

Hebu achana na ilo jina kwanza mkuu then mengine yatafata.
 
Cheating isn't by accident,Cheating is indeed by choice.Huyo dada HAKUFAI.
 
Shetani nae kumbe anawapa watu mimba ???
Cha kufanya ,wewe jipange upya maana hapo hamjaoana ,mngekuwa mmeoana basi hapo ingekuwa mtihani mkubwa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…