Habari wana JF.
Nimejikuta njia panda, Naomba mwenye kujua anisaidie. Kwa familia ya watu 10, ni lipi jiko sahihi kwa maana ya ghalama na matumizi yake kwa ujumla?
Nataka kuchukua moja wapo weekend hii!
Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatengaNdio mkuu. Watu kumi.
Watoto wanne. Baba na Mama. Dada wawili na watoto wa kufikia wawili.
Asante kwa ushauri.
Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni hisia yako tu.Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuumJiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiko la umeme nafuu zile zenye plate za induction zile ni energy server. Mimi nina familia ya watu 6 natumia umeme tuu gharama zake kwa mwezi ni 80,000 wakati nikitumia gas mtungi wa 52,000 natumia wiki tatu tuu. Mm naona umeme ni rahisi ukipata jiko ambalo ni energy server.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni kwa mahesabu hayo bado ges iko cheap???
Ndani ya miez mitatu
Gas-208000
Umeme-240000
Naunga Mkono HojaAcha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbani kwangu nina watoto wanne, wawili wa kuwazaa, mmoja uncle wang na dada wa kazi, lakini Mara zote natambulisha Nina watoto 4 na hata wao wanajua kabisa wote hapa ni watoto wangu na imesaidia kuheshimiana na kupendana, Mimi na mke wangu hatujawahi kumtambulisha kwa kusema dada wa kazi au mfanya kazi au huyu uncle wangu eti mtoto wa Mdogo wangu!Yuko sahihi, hawa watoto wawili mlo wao siyo kama ule wa watoto wake hawa hupewa makombo hivyo kwenye hesabu ya mapishi hawamo.
Kweli kabisa hakua na mantiki ya kuwabagua watoto tena kwa jamii tusiojuana kwa uhalisia wetuAcha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ubaguzi ungeandika watoto 6 ungekufa???Eti watoto wanne na watoto wa kufikia wawili wote si watoto wanatofauti gani???? Style hiyo uloandika inaonyesha tu unawatenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga Mkono Hoja
Wote Ni Watoto Wako
Aombe Radhi.