Ushauri kapata c za chemistry na maths the rest ni D | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kapata c za chemistry na maths the rest ni D

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Dude, Feb 8, 2012.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba maoni yenu,kuna dogo anahitaji ushauri..kapata div 4 ya 26,
  Ana C ya basic maths na C ya chemistry the rest ni D!
  What shud his next move be?
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Atafute shule za private ziko nyingi sana siku hizi. Otherwise kama anataka kuja india kusoma pre university awasiliane na mimi +91 9731595412. India shule ziko nyingi na nzuri
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Private unahitaji c tatu ye ana mbili..kwa hizo mark huko india anapata pre university?Ni miaka mingapi pre university?Gharama?
  Ok ur noz are noted..but may be u shud pm me ur skype id,it‘s easier n economic friendly on skype
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa matokeo hayo cmshaur asome comb za sciance,atachemka 2 huko mbelen,otherwise ni bora akasome chuo 2.
   
 5. c

  collezione JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Niandikie email. ktegwa20@gmail.com
   
 6. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ili aweze kufanya mtihani wa form six, iwe private au gov. anahitaji credit 3, yaani awe na angalao C tatu. sasa mwandae kwa re-sit moja. lakini anaweza pata nafasi private school anasoma a-level huku ana re-sit, ili mradi anapo ingia form six awe na hiyo C ya tatu
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mwingine ana div. 3 point 24 na ana b/maths C, Biology C, Civics C, na kiswahili C, the rest ana D, anaweza akachaguliwa 4m 5 serikalini kweli?
  mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC , EGM ana DC na PGM ana DDC
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  huyu kama ni msichana ataenda PGM lakini PCM ni ngumu kila mtu mwenye ufalu mzuri anataka hiyo.atapata tu watu hawajafaulu kivile,ila anaweza kupata second selection hapo ndipo kuna tatizo.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Feb 9, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wakiume, shule ya kata. itabidi nianze michakato ya kumtafutia private.
   
Loading...