Ushauri: Kaolewa na mwanaume lakini yupo mbali

Ushauri: Kaolewa na mwanaume lakini yupo mbali

Sasa kanifuata ananiambia yani huwa anavumilia mpaka kuna kipindi anaeaza awe na kamchepua kozi anahisi hata mumewe huko nae pengine ana kipoozeo.

Utamshauri nini mtu huyu


[/SIZE]

Anataka kucheat kwa vile anashindwa kuvumipia au kwa vile anahisi na mumewe anachepuka??

Kiukweli kuishi mbali ni changaumoto na kuwe na sababu ya lazima sana na pia muwe mmekubaliana.

Kama dada ana nafasi awe anaenda kila mwisho wa wiki au kila wiki mbili.
Kama haiwezekani basi waamue nani aache kazi kulingana na asili ya kazi yake ili amfate mwenzie.
 
Watafute namna yakuonana hata mara moja kwa mwezi. ila kweli hii ni changamoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom