Umemtongoza mara ngapi, wapi, saa ngapi kwa mfumo gani wala sio ishu. Unaweza ukatongoza hata mara milioni, huku ukibadiri mandhari, muda na mfumo ila bado jibu likawa lile lile. Ishu ni mbinu, ufundi, utaalamu, uhodari, manjonjo pasipo kusahau maarifa unayotumia katika hilo tendo la kumtongoza!
Kutongoza ni kazi ya kisanaa, inajumuisha matumizi ya fani na maudhui. Matumizi sahihi ya fani yanaifanya hadhira ipate maudhui uliyoyakusudia. Inaonekana hadhira ameelewa maudhui yako ila hajapendezwa na kipengele cha fani katika mtongozo wako.
Elewa mabinti wanapenda kudekezwa kiufundi, kubembelezwa taratibu, kupetiwa petiwa kwa uzuri, kufinyangwa finyangwa finywanga kwa upole ili watoe papuchi ila wewe hufanyi hivyo! halafu unataka ukubaliwe, we unaumwa nini?
unamtongoza kwa jazba utafikiri unamuombea mapepo! unamtongoza kwa nguvu utafikiri unapika ugali! unamtongozwa kwa maneno formal utafikiri unaandika official letter. Binti amechikizwa na mbinu zako hizo zilizopitwa na wakati, badilika mkuu.