Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,932
Wanawake bhana, huyo anakuletea mapenzi ya kihindi mpaka umuimbie nachi kwenye maua.
Muulize kama anakuhitaji au laa, kisha usonge mbele. Swagger za NATAKA SITAKI zishapitwa wakati
Hahahahaaaa tamthilia za kifilipino kazini...