realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Wadau,huu ni ushauri tuu,kwamba ikiwa mbowe atakwenda mwenyewe kituoni kwa mahojiano,basi kwanzia statements,search mpaka test results,muwe makini kwa kuweka ukweli mtupu.
Mbowe si mjinga kwa siku zote hizo awe hajaweka ushahidi mujarabu wa mazingira yote,kwanzia majibu ya damu hadi nyumbani kwake.
Na kwa watani wa Chadema (ccm),mkiwa mnadhani hapo ndio mtampata Mbowe kumchafua ki siasa,mmenowa,wa kina mbowe wapo wengi sana Chadema,mkimbana huyo atakuwepo mwingine na moto utakuwa pale pale,maana chadema haipo ufipa,ipo katika mioyo ya watanzania,ukitaka kuamini angalia SLAA hakuleta madhara chadema.
MBOWE ATAKUWA KATAPAKAZA USHAHIDI KILA KONA HADI MATAIFA MAKUU.