USHAURI: Kama Mbowe yupo nje ya nchi, yeyote atakaefanya uchunguzi kwake awe makini na matokeo yake

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,232
1,981
Wadau,huu ni ushauri tuu,kwamba ikiwa mbowe atakwenda mwenyewe kituoni kwa mahojiano,basi kwanzia statements,search mpaka test results,muwe makini kwa kuweka ukweli mtupu.

Mbowe si mjinga kwa siku zote hizo awe hajaweka ushahidi mujarabu wa mazingira yote,kwanzia majibu ya damu hadi nyumbani kwake.

Na kwa watani wa Chadema (ccm),mkiwa mnadhani hapo ndio mtampata Mbowe kumchafua ki siasa,mmenowa,wa kina mbowe wapo wengi sana Chadema,mkimbana huyo atakuwepo mwingine na moto utakuwa pale pale,maana chadema haipo ufipa,ipo katika mioyo ya watanzania,ukitaka kuamini angalia SLAA hakuleta madhara chadema.

MBOWE ATAKUWA KATAPAKAZA USHAHIDI KILA KONA HADI MATAIFA MAKUU.
 
Mbowe is very technical, and For me hatatokea mwenyekiti wa upinzani atatokea kwa hivi karibuni mwenye uwezo wa kucheza ngoma dhidi ya ccm tena kwa muda mrefu bila kutetereka... Mnaodhani mbowe ni wa sport sport mmechemka
 
Miaka zaid ya 15 kawa Mwenykt wa Chadema lakini mpaka Leo wameshindwa kupata walau theluthi moja ya Wabunge bado unamwita sio wa Sport sport? Sasa angefanikiwa walau kupata theluthi moja ya Wabunge ingekuaje?
 
Wadau,huu ni ushauri tuu,kwamba ikiwa mbowe atakwenda mwenyewe kituoni kwa mahojiano,basi kwanzia statements,search mpaka test results,muwe makini kwa kuweka ukweli mtupu.

Mbowe si mjinga kwa siku zote hizo awe hajaweka ushahidi mujarabu wa mazingira yote,kwanzia majibu ya damu hadi nyumbani kwake.

Na kwa watani wa Chadema (ccm),mkiwa mnadhani hapo ndio mtampata Mbowe kumchafua ki siasa,mmenowa,wa kina mbowe wapo wengi sana Chadema,mkimbana huyo atakuwepo mwingine na moto utakuwa pale pale,maana chadema haipo ufipa,ipo katika mioyo ya watanzania,ukitaka kuamini angalia SLAA hakuleta madhara chadema.

MBOWE ATAKUWA KATAPAKAZA USHAHIDI KILA KONA HADI MATAIFA MAKUU.
Mbona unajihami mkuu, Tusubiri tutajua, kama kweli anajua yeye hauzi, hafadhili, wala hatumii aende akajibu maswali na apimwe.
 
Wengi Kama Wewe wanadhani Polisi wakienda ku search Nyumba ya Mtuhumiwa basi huwa wanatafuta Misokoto /Kete pekee!

Huwezi kujua cha kuficha mpaka ujue kinachotafutwa
Mkuu unafikili wakienda kwa Mbowe watakuwa wanatafuta nini
 
Kwenye hili swala la madawa TUNDU LISSU wameogopa kumuingiza coz wanajua hazimtoshi maana angekubali anatumia halafu angesema anauziwa na mama Jesca
 
Wadau,huu ni ushauri tuu,kwamba ikiwa mbowe atakwenda mwenyewe kituoni kwa mahojiano,basi kwanzia statements,search mpaka test results,muwe makini kwa kuweka ukweli mtupu.

Mbowe si mjinga kwa siku zote hizo awe hajaweka ushahidi mujarabu wa mazingira yote,kwanzia majibu ya damu hadi nyumbani kwake.

Na kwa watani wa Chadema (ccm),mkiwa mnadhani hapo ndio mtampata Mbowe kumchafua ki siasa,mmenowa,wa kina mbowe wapo wengi sana Chadema,mkimbana huyo atakuwepo mwingine na moto utakuwa pale pale,maana chadema haipo ufipa,ipo katika mioyo ya watanzania,ukitaka kuamini angalia SLAA hakuleta madhara chadema.

MBOWE ATAKUWA KATAPAKAZA USHAHIDI KILA KONA HADI MATAIFA MAKUU.
KumbeKumbeissue ni politik?u
 
Back
Top Bottom