Ushauri: Kaka angu anateseka.

kama bro anaweza atemane naye..! Na nyie mnakua wapi mnaona kaka yenu anaitiwa mashemeji wanamdunda, then nyie mnacheka tu..!
 
kama bro anaweza atemane naye..! Na nyie mnakua wapi mnaona kaka yenu anaitiwa mashemeji wanamdunda, then nyie mnacheka tu..!
Sisi tuko
uku Kijenge juu,,
yeye yupo
Sakina,,
alaf istoshe
tulikua hatujui
ndo kaamua
kumuelezea
Bi-Mkubwa
jana..
 
Mwambia aache ujinga. Yaani atume nauli ili watu waje kumdunda. Hata kama anampenda mkewe. Lazima asimame kama mwanaume.
Mwanaume halisi hawez ruhusu mke akampandia kichwan namna hiyo.

Next amwambie huyo kama vip asepe. Asimletee jam kwenye maisha.
Wanawake wa kipare.. wanamatatizo sana (sio wote)
Machalii
wa humu
Eroo Suphai,,
Ma mamiloo
Takwenyaa,,

Okay ngoja
nichumpe
mokomoko
kwenye point,
Nna kaka angu
nnaemfata kabisa
yeye ni wa pili
kutoka mwisho
kuzaliwa uku
mimi
nikiwa ndo wa
mwisho....
Huyu broo
ana mke
ambae kamuoa
mwaka jana
tu apa
mwezi kama
wa9 ivi...
Mkewe ni
mpare wa
Same Kilimanjaro,
Sasa wengeree ni
pale wanakwazana
na kuzinguana,
Mke wake
huwa anamshurutisha
broo ampe moneygram
ya usafiri wa kaka
zake watatu
ambao
wapo Same Kilimanjaro
na kuja Arusha Kumdunda
Brother,,
Wakishampa
kifinyo brother
wanamuomba
tena moneygram
ya nauli kurudi
Same..Bro
alikua anaomba
ushauri wenu
wadau au
ahame Chuga
tu kuepuka
usumbufu??
#Wanaume
tunapungua
kwa kasi ya
Supersonic
Duniani.
@ChaliiYaKijengeJuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom