Ushauri juu ya Swala hili Tafadhali


Mbona mnaharaka Sana kama mnaoga nje? Mwezi mmoja Tu mnatambulishana kweli?

Fanya chochote utakachojisikia kufanya kwani nani alikushauri ukamtambulishe kwenu?
mkuu umenifanya nicheke sana nanimepunguza stress nilizokuwa nazo leo aise!!
 
NDANI YA MWEZI UMEONA UMETAMANI UKAPENDA UKATONGOZA UKAKUBALIWA MKAPANGA NDOA UKAENDA KUTAMBULISHWA KWAO UKATAMBULISHA KWENU WAKARIDHIA NDOA UKACHOKWA UKATAFUTIWA KIDUMU AKAKOLEA KWA KIDUMU HADI ANATAKA DIVORCE?

ADVICE: easy come easy go
 
umekurupuka sana kufanya hayo uloyafanya, hadi nimerudia kusoma mara mbili mbili, ndani ya mwezi mmoja mmefanya yote hadi ahadi ya ndoa.kubali tu kuwa hapo hakuna kitu, kimbia fasta kabla hayajakukuta makubwa zaid
 
Sijajua unakimbilia wapi au unaharaka gani? au huyo mwanamke umekuwa kama bahati kwako yaani mwezi mmoja tayari mmepanga kuoana na tayari mmepelekana kwa wazazi mim ningekua mzazi wako nisingekubali half ndani ya mwezi huo huo tayari umeshaanza kuchanganyiwa rangi eti hujui la kufanya kweli,wenzako mwezi mmoja ndo huwa wanafukuzia kugegeda na wanaweza kupewa mwezi unaofuata ndan ya miezi sita ndo determination ya kuishi naye huanza huku ukijifikiria kama mtaendana sasa wewe mwezi mmoja? dud!
 
Duh so upo tayari to spend the rest of ur life na mtu ambaye umemjua kwa mwezi mmoja simply coz u cannot face your parents na wazazi wake? Wewe waeleze tu haiku work out na moyo wako mzito! They shd be able to understand especially ur parents. Ila usiwatambulishe mwingine until u r sure. Dah mwezI?!
 
Mapya haya, mwezi mmoja wazazi wote wanajua na hivi karibuni mtafunga ndoa! mnamatatizo gani?
 

Short and clear
Piga chini...
Kasikilize nyimbi ya young dee ft ...(boma la utete)
 
ungekua umeoa ningekushauri ukomae umuombe Mungu amtulize.ila bado ndoa tupa kuleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…