binti kikojozi
Member
- May 14, 2016
- 54
- 19
Habari wakuu, Ninaomba ushauri juu ya masters programme ya kusoma yenye motisha nzuri ya kujumlishia kwenye degree ya kwanza (hot cake). (Degree ya kwanza Ilikuwa ya ICT). Kuna baadhi ya kozi za udsm na udom nimezipenda ikiwemo masters ya telecommunications engineering na masters ya electronics eng and information technology. Zote hizo mbili ninaweza jiunga nazo kulingana na entry qualifications zake.. the big issue here is an added value 😂😂, i need a masters that can be an added value at work place or e.t.c even if i diverge from my technical skills it's okay bse am looking for a hot cake 😄 (mtonyo mrefu). Some pple wamenambia project management courses wengine wananiambia MBA and i don't know which is which... tushauriane basi😂😂