Mkuu kajikite kwenye mambo ya corporate finance, quantitive / mathematical finance , financial engineering na investment uwe konkodi wa masuala ya uwekezaji na masoko ya hisa pamoja au masuala ya forensic accounting na auditing mambo ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha na rasilimali nyinginezo kwenye taasisi mbalimbali, hii itakuwezesha kuwa in demand katika soko la ajira ndani na nje ya nchi.Assalam wakuu,
Nnimehitimu B Degree ya Finance and Banking (3.6 GPA) miaka kadhaa iliyopita na sasa niko private firm nasukuma gurudumu kibishi as accountant. Kutokana na salary kuwa kiduchuuu, mzee kanipa offer nikasome Masters nje, so hapa nawaza nikasomee nini chenye kunitoa mjini hapa kati ya zifuatazo:
1) Accounting and Finance
2) Islamic Finance and Banking
3) Msc in Finance
Wakuu, nipeni ushauri ili nitoe tongotongo hizi tafadhali.
nenda kajifunze skills, jifunze crane operations... mfano lile dude refu magorofa yakijengwa linakaa pembeni.. unajua jamaa wanaoendesha wanalipwa bei gani ?
nenda kajifunze kuendesha truks, au ufundi simu, ac , ma friji, ama nenda kajifunze umeme wa magari,
achana na elimu za vyeti kapate skills hata za tiba asilia kama dokta mwaka, ama kajifunze uchungaji kama mwamposa na suguye...
elimu za vyeti vingi hazina msaada sana zama hizi za teknolojia...
ila ukiwa na skills unaishi popote .
dereva wa lori semitrela kutoka Tanzania hata ukimdondosha new york leo anasota muda mchache sana anapata mchongo, kuliko umdondoshe muhasibu new york leo
Formal education haiwezi kukutoa kamwe! Kitu pekee ambacho kinaweza kukutoa ni uwekeze kwenye akili yako. Mifumo iliyopo imewekwa ili kuandaa watu kuwa masikini. Watu pekee waliofanikiwa hapa duniani ni wale walioweza kwenda kinyume na mifumo iliyopo. Natamani akili niliyo nayo leo ningekuwa nayo wakati nasoma degree!
shukrani mkuuMkuu kajikite kwenye mambo ya corporate finance, quantitive / mathematical finance , financial engineering na investment uwe konkodi wa masuala ya uwekezaji na masoko ya hisa pamoja au masuala ya forensic accounting na auditing mambo ya kuchunguza ubadhirifu wa fedha na rasilimali nyinginezo kwenye taasisi mbalimbali, hii itakuwezesha kuwa in demand katika soko la ajira ndani na nje ya nchi.
well noted mkuu naanza na cherehani-kiwanda cha nguonenda kajifunze skills, jifunze crane operations... mfano lile dude refu magorofa yakijengwa linakaa pembeni.. unajua jamaa wanaoendesha wanalipwa bei gani ?
nenda kajifunze kuendesha truks, au ufundi simu, ac , ma friji, ama nenda kajifunze umeme wa magari,
achana na elimu za vyeti kapate skills hata za tiba asilia kama dokta mwaka, ama kajifunze uchungaji kama mwamposa na suguye...
elimu za vyeti vingi hazina msaada sana zama hizi za teknolojia...
ila ukiwa na skills unaishi popote .
dereva wa lori semitrela kutoka Tanzania hata ukimdondosha new york leo anasota muda mchache sana anapata mchongo, kuliko umdondoshe muhasibu new york leo
Oyaaa wanangu wa sekei , mwingine huyu hukuuu anauliza masters gani itamtoa
njooo mpeni ma mbinu ya kuanzia chuo na wapi akaisome na aje atafutie wapi ajira...
mimi tutazinguana tu...