Ushauri juu ya mabati imara ya kuezeka nyumba

Ushauri juu ya mabati imara ya kuezeka nyumba

alafu mita moja ya migongo mipana wanauza tshs 12 mpaka upate futi tatu ambalo ndio bora ni 36 kila bati, kama nyumba yako ni kubwa ambayo ni square meta 500 utachukua bati 135 x 36 = calculate mwenyewe hapo, hapo utapata gutters 50 na cofia 60 hapo umemaliza paa
Sijakuelewa hapo hiyo nyumba ina mapaa mangapi
 
alafu mita moja ya migongo mipana wanauza tshs 12 mpaka upate futi tatu ambalo ndio bora ni 36 kila bati, kama nyumba yako ni kubwa ambayo ni square meta 500 utachukua bati 135 x 36 = calculate mwenyewe hapo, hapo utapata gutters 50 na cofia 60 hapo umemaliza paa
Najaribu kukuelewa mkuu lkn nashindwa.
 
NAOMBA KUULIZA KATI YA MABATI YA ALAFU,SIMBA DUME NA KIBOKO YAPI MABATI MAZURI NA IMARA?????
Mkuu kwenye mabati ALAF bado haijapata mshindani wa kweli. Wapo vizuri sana, kama ungeweza kujipanga kidogo nenda ALAF kachukue bati linaitwa versatile rangi charcoal grey kila muda utatamani kuliangalia paa la nyumba yako.
 
MUHIMU;
Bei za mabati ya Alaf zina discount ya 5% kwa mabati ya migongo mipana hakikisha unapewa hiyo discount ni official ukinunua kwa mawakala hiyo hupati nenda kiwandani.
Tulio mbali na viwanda inakuwaje?
 
Inshu ya bati bado ni pasuaka kichwa sana hasa kwetu wenye kudunduliza tsh ndo ufanye jambo... matangazo ya viwanda vya mabati yamekuwa mengi hadi mtu unachanganyikwa kama vile unanunua body spray kwa kunusa halufu zake dukani.
 
Kweli ndugu,kuna duka unaenda unaambiwa bei ya alaf g 30 migongo midogo ya rangi mita 3 ni 24,000 kwa Bari pengine unaambiwa ni 28000 mpaka unashindwa kujua feki ni zipi na og ni zp
 
Nenda Aluminium Africa wao ndio wana mabati bora huuza kutokana na vipimo vya nyumba yako na kwa meter ,kwa mikoani wana viwanda vyao vidogo ambavyo hukata hizo metal ream ambazo zina rangi tayari sio za kupaka ,mimi nilitumia kama milioni 7 kwa nyumba yangu kubwa na zimebaki bati 25 hizo za mgongo,lakini ukitaka za kawaida za rangi kwa bundle ni kama laki 3 hivi mimi nilitumia bati hizo za kawaida kwa kuzikunja kuwa kofia ,na zinapendeza kweli.Kama ungekuwa Mbeya nenda pale kwenye kiwanda Mwanjelwa na kama upo Dar nenda kiwandani Pugu road.Na kidogo bati nyingine nzuri ni za Korea na India,tahadhari usiende kununua za dezo jeshini,ikija mvua ya masika utaisahau nyumba yako
Bei zao zikoje nikienda kiwanda nakama kuna mtu ananamba ya meneja wao aniwezeshe tafadhari
 
Back
Top Bottom