Kwa issue ya camera series za 7xx za lumia huwa na camera nzuri na simu hii pia ina camera nzuri ya mbele ambayo ilicompete hadi na note 4 mwaka jana japo lumia 730 ni budget phone.
Kuhusu battery hii simu ni average japo ni kubwa kuliko W1 ila pia huwezi iweka kwenye kundi la simu zonazokaa sana na chaji, uzuri wa simu za wp ni kwamba hazina background task nyingi hivyo hata ukieka mambo mengi ukaaji chaji hauathiriki sana.
Mambo mengine ni kwamba haina button za chini ina on screen keys hivyo uangalie kama halitakukera.
Ushauri, kama unataka simu itakayopata windows 10 why ununue sasa hv? Subiria mwezi wa 10 microsoft atazindua simu nyingi huwezi jua pengine lumia 740 au simu nyengine yoyote ya budget yako inaweza zinduliwa ikiwa na win 10 pre installed