Ki ukweli ni jambo linalohitaji ujasiri wa hali ya juu.
Tulikaa na marafiki katika story na kila mtu akawa ana hofu juu ya kwenda kupima.
Binafsi huwa najiuliza kwanini nisiende kupima lakini pia najiuliza je nikikutwa nao then what?
Nitaweza kuhimili condition hiyo?
Na je vipi ikiwa nimechelewa kufanya vipimo hivyo?
Vipi mpenzi niliyenae kama ninao na nimemwambukiza atanielewa?
Nitaishije baada ya hapo?
Je ni sehemu gani hasa niende yenye usiri?
Iwapo nikagundulika ninao ni wapi nitapata matibabu bila watu kujua?
Kuna maswali mengi hua yanakuja mtu anapofikiria kwenda kupima.
Jf Doctors na wataalamu wengine humu Jf ningependa mtoe ushauri wa kuencourage kwanini kwenda kupima au kutokupima.
Atleast kabla Deception hajatokea.

Last edited by a moderator: