Tunapongeza kwa hatua ya ukarabati wa vivuko hivi, angalau hili Mv Magogoni baada ya kukarabatiwa angalau shida inakuja kwa hili Mv Kigamboni. Kwanza dogo unakuta wanaruhusu gari zijae mistari yote pamoja na watu.
Kinachotokea sasa ni watu kuingia kwa msusururu kama siafu huku mkipenya penya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.