Habari wana Jamii, nataka kununua king'amuzi sema kutokana kwamba vipo vingi sana sokoni
nipo kwenye dillemma sielewi kipi ni bora in terms of channel nyingi nzuri, gharama za kila mwezi...:help: :help:

ndugu mimi nili nunua 1[startimes] nikaona hamna kitu 2[ting] nacho hamna kitu 3[contnento] nacha naona hamna kitu, sasa nasubiria cha [azam media] nacho nikione kama kita kizi matakwa yangu ya vipindi bora na mipira, nacho nikiona hamna kitu basi nitajiunga na kebo,