Ushauri watafute wataalamu wa ki sheria kwanza wakupe muongozo mzuri kisheria baada ya hapo watafute wataalamu wa mambo ya Ardhi ikiwezekana wasiliana nao wa wilayani ili ujue nin cha kufanya na watakusadiaBibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et
Mita za mraba 4,900 vs 4000 au elfu 4900 vs elfu 4000? Nway, hiyo base yenu ya 4000 au elfu 4000 mmeipataje?.... ekari ni 70x70 au 140x35 metresBibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu 4900 nasie tunadai ekari ni mita elfu 4000 za mraba lasivo waje wataalam na je nani yupo sahihi sisi ama yeye katika vipimo et
Kitaalam ekari moja ina ukubwa wa mita za mraba 4040..ila kimtaan ndo tumezoeshwa tofauti na hiyo so anavyokuja kkupimia mtaalam ataiweka kwa kutumia hiyo hesab apoMita za mraba 4,900 vs 4000 au elfu 4900 vs elfu 4000? Nway, hiyo base yenu ya 4000 au elfu 4000 mmeipataje?.... ekari ni 70x70 au 140x35 metres
Sawa athante tulifanya HVO mpka SAS mambo mazurUshauri watafute wataalamu wa ki sheria kwanza wakupe muongozo mzuri kisheria baada ya hapo watafute wataalamu wa mambo ya Ardhi ikiwezekana wasiliana nao wa wilayani ili ujue nin cha kufanya na watakusadia
Ulitaka bibi yako aingizwe choo cha kiume?Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike
Alilipa yote bila deni sh milion mbili laki saba mwaka 2013 nilipo kuja mie ndyo nkashitukia mchezoMuulizeni mnunuI kama angenunua nyumba za lugumi mnadani na akalipia nusu anadhani alistahili kupewa nyumba nusu au hata hiyo pesa aliyolipa mnadani ingepotea na nyumba asingepata.
Aache uhuni arudishiwe pesa yake as long as hana alichofanya shambani kwa bibi yenu.
Tena mumuambie bibi yenu ana matatizo ya akili akiendelea kukomaa atapoteza hata pesa aliyotoa kidogo...kuhusu ekari moja ni sawa mita mraba 4040...