Ushauri juu ya course za Biomedical Engineering & Food Science and biotechnology

xy-gene

Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
68
Reaction score
54
Naombeni ushauri wakuu..
Nimepata scholarship ya kwenda kusoma China kwenye province mbili tofauti na nimepata course hizo mbili nahitaji kuconfirm kwenda course moja kati ya hizo (Biomedical Engineering & Food Science and biotechnology).
Ni ipi ina opportunities nyingi na pia ina nafasi kubwa kwenye ajira na hata kujiajiri pindi nimalizapo masomo na kurudi nchini?
Natanguliza shukran!![emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nenda kasome Biomedical Engineering kwa sababu Uhitaji wa wataalamu hao katika hospitali nchini ni mkubwa ukilinganisha na waliopo sokoni eg. Kwa sasa ni DIT na Arusha Tech ndio wanatoa Bachelor na Diploma ya Biomedical Engineering tena kwa idadi ndogo maana madogo wanafeli sana kwa hiyo wanaomaliza ni wachache sana
 
Naombeni ushauri wakuu..
Nimepata scholarship ya kwenda kusoma China kwenye province mbili tofauti na nimepata course hizo mbili nahitaji kuconfirm kwenda course moja kati ya hizo (Biomedical Engineering & Food Science and biotechnology).
Ni ipi ina opportunities nyingi na pia ina nafasi kubwa kwenye ajira na hata kujiajiri pindi nimalizapo masomo na kurudi nchini?
Natanguliza shukran!![emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
nakushauri kasome biomedical engineering
 
Mkuu China wametoa local Provincial scholarship gani ? Maana nami ni miongoni mwa applicant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom