Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu.
Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye vyuo vya private nako pia competition ipo.
Nimefikiria kusoma C.O naomben ushauri wenu ili nikiingia huko nipate G.P.A Kubwa kuanzia 4.5 hadi 5.0 ili niendeleze MD hadi nifikie ndoto yangu ya kuwa daktar bingwa wa mifupa.
Nawakaribisha kwa ushauri wenu ndugu zangu!