gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
Nikuelekeze katika makanisa yanayomwabudu Mungu katika roho na kweli. ATAOMBEWA BURE. MPELEKE MWENGE KANISA LA EFATHA. ONGEA NA MUHUDUMU YOYOTE PALE. KAMA UPO MIKOANI TAFUTA MAKANISA HAYO. YAPO mengi ila niyajuayo ni hayo. msiangaike kwa waganga mtapoteza hela bure msifanikiweGuys habari zenu,
Kuna binti mmoja ambaye anasoma kidato cha nne,anateseka sana baada ya kuingiwa na jini ambalo lina taka limuoe na amehangaika sana makanisani ila imeshindikana,nimeona nililete kwenye jamvi,yeyote mzoefu au anaelewa haya mambo.
Msaada tumsaidie huyu binti
Asante
mmmmmmmmmm,mashakaaaaaaaaa.mwenyezi mungu atustiri,majini yasikuizi yana balaa,amuoe atamjengea nyumba na kulisha au amuoe kwa nguvu tuu kisa Jini? huyo jini Muhuni sana...
shida ni kama jini ni kibamia!
Msihangaike makanisani mtatapekiwa bureNikuelekeze katika makanisa yanayomwabudu Mungu katika roho na kweli. ATAOMBEWA BURE. MPELEKE MWENGE KANISA LA EFATHA. ONGEA NA MUHUDUMU YOYOTE PALE. KAMA UPO MIKOANI TAFUTA MAKANISA HAYO. YAPO mengi ila niyajuayo ni hayo. msiangaike kwa waganga mtapoteza hela bure msifanikiwe
Aende kwa lusekelo mzee wa upako aombeweGuys habari zenu,
Kuna binti mmoja ambaye anasoma kidato cha nne,anateseka sana baada ya kuingiwa na jini ambalo lina taka limuoe na amehangaika sana makanisani ila imeshindikana,nimeona nililete kwenye jamvi,yeyote mzoefu au anaelewa haya mambo.
Msaada tumsaidie huyu binti
Asante
AFUATE USHAURI WANGU NA MATOKEO TUYATOE HAPA HAPA. IKIWEZEKANA MIMI NA WEWE MUHUSIKA ATUSHIRIKISHE TUWE MASHAHIDI.Msihangaike makanisani mtatapekiwa bure
Anacheza na sharubu za magufuli...soon atatumbuliwaaaaJini anamtaka mwanafunzi haogopi miaka 30 kifungoni
Nikuelekeze katika makanisa yanayomwabudu Mungu katika roho na kweli. ATAOMBEWA BURE. MPELEKE MWENGE KANISA LA EFATHA. ONGEA NA MUHUDUMU YOYOTE PALE. KAMA UPO MIKOANI TAFUTA MAKANISA HAYO. YAPO mengi ila niyajuayo ni hayo. msiangaike kwa waganga mtapoteza hela bure msifanikiwe
AFUATE USHAURI WANGU NA MATOKEO TUYATOE HAPA HAPA. IKIWEZEKANA MIMI NA WEWE MUHUSIKA ATUSHIRIKISHE TUWE MASHAHIDI.Msihangaike makanisani mtatapekiwa bure