Kumekuwepo kama mashindano ya nani mwenye likes na asiye na likes,watu wanaomba ushauri wachangiaji wanaandika coments ambazo watapata likes nyingi bila kujali wanaandika nini. Suluhisho ni moja tu,reactions zikifutwa watu watanyooka kwani watakuwa hawana tena kile kimuhemuhe cha kutafuta likes. Ni ushauri tu maana jukwaa linaenda au tuseme limekuwa jukwaa la vichekesho.
Ni ushauri wa hovyo kama post #3 ilivyotanabaisha, unakuja na baseless assumptions ambazo ziko driven na childish emotions katika jukwaa ambalo freedom of expression ndiyo msingi wake mkuu.watafuta likes ambao mnasababisha jukwaa kuwa la hovyo ni nyie.
Mkuu ukiona likes nyingi basi tambua kuwa kilichoandikwa ni cha maana haswa na kinawafariji Wana-JF.Cc wakongwe Mshana Jr,Kipenzi Changu Nikifa MkeWangu Asiolewe secretarybird SweetyCandy Tate Mkuu Kiranga Gona mwitu mnaonaje jf ya sasa ya enzi hizo? Wengine si wakongwe nimewatag tu ili mje mtoe experience zenu.
Unasapoti watu waendelee kuposti ujinga.Kumekuwepo kama mashindano ya nani mwenye likes na asiye na likes,watu wanaomba ushauri wachangiaji wanaandika coments ambazo watapata likes nyingi bila kujali wanaandika nini. Suluhisho ni moja tu,reactions zikifutwa watu watanyooka kwani watakuwa hawana tena kile kimuhemuhe cha kutafuta likes. Ni ushauri tu maana jukwaa linaenda au tuseme limekuwa jukwaa la vichekesho.
Mbaga Jr huwa analipwa mkuu.Sikuwahi kujua kama kuna watu wanafuatilia hizi ishu za likes hapa JF!
Hivi hua zinafaida yeyote? pengine sisi wengine hatulijui hilo.