barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Bora niwe peke yangu
Umekuwa asexual being au. Tuwe marafiki tu basi na mimi. nitakuliwaza baby. Utamsahau tu.
Bora niwe peke yangu
Au mke wa pili, waislamu wanaruhusiwa
Umekuwa asexual being au. Tuwe marafiki tu basi na mimi. nitakuliwaza baby. Utamsahau tu.
Fb aliyeweka ni mkewe si yeye but alitoa status ktk wachangiaj kuja kuangalia mmjoa mwanamke kumfatilia ndo nikagundua ni mkewe kaweka picha zao na watoto
Miss love acha utoto,umetoka kwenye broken family elimu yenyewe huna umeri 20 unataka mapenzi?
Whatever!Ila ujumbe umeupata. Vipi hijanijibu status yako kama umechange au...:behindsofa:
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahadi yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu.
Hapa ndo napoyashangaa mapenzi ya siku hizi, embu nambie kwanza mna muda gani hadi unasema anakupenda tena kwa mkazo kabsa.
Miaka 2
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
we achana nae tafuta mwengine .... una umri mdogo sana so haujapoteza, we endelea na maisha... shukuru umemjua mapema... maana jaama ana ngumu roho... maana kadanganya family yenu yote.... ungechelewa angekuambia sio mtanzania yy ni msauz au blackamerica ila amefika tanzania mdogo sana... hehehe.. be happy dont :crying: coz mawazo mengi ya huzuni huleta magonjwa
Ukweli ni kwamba nyote mnaugua MIHEMKO! Fahamu zikiwarejea njoo hapa tukushauri!
Wala hakupendi huyo, alikuwa anakufanya mchepuko tuu, au angekuja kukupa mimba halafu ndio angekwambia ukweli.Dini ungebadilishwa uwe mke wa pili, achana nae!
Sijui nigeuke mr lover..?!