Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
Endelea kumpenda mpaka mwisho penzi lenu zuri
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
mwambie hivi ....its over between me and you... and hell its a better place for you i mean him
open your eyes angekupenda asingekudanganya muda ni mali achana na huyo mume wa mtu ni sumu

Kubali matokeo sababu ni mume wa mtu, ukimganda sana unatafuta matatizo.
Wanasema tahadhari kabla ya hatari
Halafu nakusaka saka sikuoni.
Mkuu nashukuru asante, salama lakini?Mkuu upo?
Tatizo bado nampenda na yeye ananipenda sana tena sana
mwambie hivi ....its over between me and you... and hell its a better place for you i mean him
hahahah huu ni zaidi ya unafki sasa mkuu wa nnchi haoni ndani ule ukomandoo ulionifanyia si mchezo
mwambie hivi ....its over between me and you... and hell its a better place for you i mean him
open your eyes angekupenda asingekudanganya muda ni mali achana na huyo mume wa mtu ni sumu
Mkuu nashukuru asante, salama lakini?
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Acha hizo bana ujue siku hizi nimepewa umwenyekiti wa mtaa nashughulikia mgogoro kati ya wakulima na wafugaji, Nafikiri mazingira ya huku porini kwetu unayajua, ila usijali tuko pamoja one day yes,!
mmmmh kimbia bila kugeuka nyuma......!!! we mwenyewe ukipima hapo unaona kuna future kweli????? ukimpa chance ya kujitetea atakwambia anakupenda na atakuoa japo mke wa pili!! CHAKA HILO!!!
Endeleeni kupendana,