Miss lover
Member
- Jul 25, 2014
- 47
- 6
- Thread starter
- #61
Amekuchoka na hakutaki ndo maana ameweka picha ya mkewe na wanawe FB ili ujue kuwa yeye ana familia. Pole lakini huo ndo ukweli, alishindwa kukuambia live kaona akupe ujumbe huko huko Fb. Vipi lakini status yako ilikuwaje FB?Au ndo zile 'In an open relationship with....' Kama vipi fanya fasta ubadili status yako mana daaah!!!
Fb aliyeweka ni mkewe si yeye but alitoa status ktk wachangiaj kuja kuangalia mmjoa mwanamke kumfatilia ndo nikagundua ni mkewe kaweka picha zao na watoto