Miss lover
Member
- Jul 25, 2014
- 47
- 6
- Thread starter
- #101
unaumwa????, pole sana..
ndio ni mume wa mtu = achia ngazi
miaka 20, umri unaruhusu kuanza mahusiano mapya na mtu mwingine.
usichanganyikiwe = bado una nafasi
Thanx mummy!
unaumwa????, pole sana..
ndio ni mume wa mtu = achia ngazi
miaka 20, umri unaruhusu kuanza mahusiano mapya na mtu mwingine.
usichanganyikiwe = bado una nafasi
Hahahaha.! Geuka tu
Pole mwaya tulia tu utapata aliye mwema kwako
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 20 nina mpenz wangu ambaye nampenda sana, na yeye pia ananipenda sana na mpaka nyumbani wameshamjua, na ananihudumia kwa kila kitu ninachotaka. Tulipoanza mahusiano nilimuuliza kama kaoa akakataa ila akasema ana mtoto mmoja, sasa hivi juzi nimeingia fb nikakuta picha yake mkewe na watoto wao wawili, na ahadi yetu ni kufunga ndoa na kumbe dini alinidanganya yeye muislam mimi mkristo na alisema yeye mkristo nifanye nini jamani maana hapa nilipo hadi nimeumwa mwenzenu baada ya kujua ni mume wa mtu.
Mie ndio maana napenda mwanaume akiniambia anamke tena namkubar kirahc kuliko awa rika la kati waongo sanaa.....ushaur wang tafta mume wa mtu mawazo yote yataisha na utamsahau uyo mwongo wakoo
Duuh !!!!
unamshauri atafute mume wa mtu.........
Yaani awe japo si lazima "chanzo cha kuvunjika ndoa ingine"
Ok tuseme atafute mume wa mtu na uyo mwenye mme unamfikiriaje?