Sijakuelewa vizuri, hebu edit vizuri ili nikuelewe na niweze kutoa ushauri. Weka mkato, nukta n.k.
Ninavyojua mimi laiti kama ungekuwa nchi nyingine hivi ndio ingeleta tatizo lakini kwa nchi hii y Tanzania hata usiwe na wasi wasi mkuu, hakuna tatizo wala mkanganyiko wowote utakaotokea.
Kuwa huru kabisa ndugu yangu.
Sijakuelewa vizuri, hebu edit vizuri ili nikuelewe na niweze kutoa ushauri. Weka mkato, nukta n.k.
Hata mie sijampata,Aendelee wapi sasa Private au Muhimbili? Je muhimbili amepata kazi au amepata chuo kusoma? Payrol anayozungumza hipi ya halmashauri ambapo ameacha au wapi?
Hapa sasa nimekupata...nimepata kazi muhimbili na nimeshaanza kitu kinachonisumbua ni je payroll itatoka mpya maana tayari ilisha wahi kutoka wakati nilipokuwa halmashauri? Na kumbuka nilishaacha huko halmashauri nina mwaka sasa na walishapita kuhakiki watumishi na ilinibidi niache kutokana na matatizo yaliyonipata wakafunga mshahara nimeeleweka sipo private ila ni serikalini
Hapa sasa nimekupata...
Usiwe na wasiwasi hakuna tatizo lolote, utapata mshahara kama kawaida.