Boniphace mabula
Member
- Jun 29, 2019
- 20
- 10
Poleni na majukumu Wana jukwaa.
Nahitaji ushauri jaman nimemaliza form six pcb mwaka jana matokeo yako hivi
P-E
C-D
B-C
Mawazo yangu yalikuwa nikasome biotechnology & laboratory science lakin bado sijaielewa kwaundani zaidi hii course na soko Lake katika ajira lipoje pia utofauti wake na BSc medical laboratory ktk ajira Pia nafkria kuhusu
_molecular biology and biotechnology
_agronomy
_veterinary medicine
_microbiology
Ni ipi course nzur jaman nisaidieni
Mwaka jana nlkosa chuo bana.