USHAURI; Inawezekana kuwa na Ujauzito na bado akaingia period?

Wakubwa.
kuna huyu Manzi alikuwaga rafiki angu enzi zile za tuition Mchikichini.
Mwaka huu mwezi wa tisa mwanzoni tulisex. Sasa leo kanicheki ananiambia J leo nilizimia.
nikastuka kidogo, nkampigia nikamuuliza tatizo ni nini. ? Anasema Nurse kamwambia ana Ujaauzito wa mwezi mmoja. Wakati huo Mimi nko mkoa tangu tar 12 mwezi wa 9 na mara ya mwisho naondoka alinmbia yuko period afu leo ananimbia Ana Mimba na ni ya kwangu Mimi J.
ushauri wakuu inawezekana kweli hii kitu ..
inawezekana kuwa mjamzito kisha kuona siku zake kama kawaida hii inatokea sana katika miezi ya awali kisha inakata. hivyo usishangae kaka lea mtt wako na hayo ndio matunda ya mti ulioupanda
 
Sasa period ikiwa inaendelea na vipimo vya mimba vya aina vyote vinaweza kuonyesha kuwa mtu ni mjamzito?
 
Ilishanikuta hyo kitu mpk leo hii manzi kaniganda. Sijataka kumkatalia ila najua sio wangu
 
Back
Top Bottom