nxon
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,162
- 407
Kama title inavyosema, nina mpenzi wangu tulishiriki tendo mwezi wa tano mwishoni baada ya siku 3 akaingia period, leo ananiambia hajaingia period amepima pregnancy test imeonesha ana mimba.
Nakaribisha wataalamu wanipe ufafanuzi juu ya hili swala. Je inawezekanaje?
Nakaribisha wataalamu wanipe ufafanuzi juu ya hili swala. Je inawezekanaje?