NimekuelewaMmmh kwanza una mpango wa kumuoa au wataka kumchezea tu? kama vipi usimpotezee muda wake kutokujua kupika sio sabab ya kumuacha mwanamke kama kweli unampenda, Au unataka wale wanaojua kupika lakini ni wasaliti??? anaweza akajifunza ndani ya miezi michache tu na akawa mpishi mzuri tu.
Apo chacha, umapate anaejua kupika lakini anakuuliza samaki nichemshe au nikaange😀Kupika tu ndo umpige chini au kuna jingine?
Hebu aje atueleze tu kama kuna la ziada... Maana hii siyoApo chacha, umapate anaejua kupika lakini anakuuliza samaki nichemshe au nikaange😀
mkuu wanaitwaje hao wafundishaji?Pale magomeni kuna sehemu wanafundisha mapishi. Vipindi vyao vinaoneshwa ch.10
Msalimie sana.
Wee Dada NAKUPENDAMmmh kwanza una mpango wa kumuoa au wataka kumchezea tu? kama vipi usimpotezee muda wake kutokujua kupika sio sabab ya kumuacha mwanamke kama kweli unampenda, Au unataka wale wanaojua kupika lakini ni wasaliti??? anaweza akajifunza ndani ya miezi michache tu na akawa mpishi mzuri tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa tukushauri nini?
si umesema unataka kumpiga chini?
Swadakta....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Mbona JF kuna jukwaa la mapishi pia, Farkhina ni mtaalamu sana huko.
Nimejifundisha kiswahili kipyaHahaha..mimi nimependa hapa kila mtu giza litakapomfikia analala kwa mwenzie
Huyo siyo mzigo kabisa, hilo tu huwezi kumuita mzigo.Mkuu thanks Kama hii kitu ipo she can learn japo hajajua kuwa nimegundua kuwa yeye ni mzigo
Mmenitanya niwaze hadi kuvuka mlicho kiandikaApo chacha, umapate anaejua kupika lakini anakuuliza samaki nichemshe au nikaange😀
Kupika tu ndo umpige chini au kuna jingine?
Ha haaa kweli tumeku"tanya" mpaka umevuka... Soooore[emoji12]Mmenitanya niwaze hadi kuvuka mlicho kiandika
Mkuu unaweza kumpata mtu ubongo uko holiday, anasubiri ubongo wako ufikirie, umeona wapi samaki wanachemshwa, lakini unarudi na mfuko anauliza "hawa samaki ni kaange au nichemshe?"Mmenitanya niwaze hadi kuvuka mlicho kiandika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha haaa kweli tumeku"tanya" mpaka umevuka... Soooore[emoji12]
Mkuu unaweza kumpata mtu ubongo uko holiday, anasubiri ubongo wako ufikirie, umeona wapi samaki wanachemshwa, lakini unarudi na mfuko anauliza "hawa samaki ni kaange au nichemshe?"