ushauri hp

ushauri hp

miksel

Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
63
Reaction score
6
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje
 
ninawasiwasi na jinsi unavyoandika huwezi kuwa mtu wa maana
 
hahahh duh! hizi za uso hizi kama sio za mbavu
 
nimegushi sahii kene clearance form nlikua nataka cheti xaxa nkakamatwa da ticha kakinukisha ... cjui nfanyaje

Sijui kiswahili cha wapi hiki... Waachie tu hicho cheti, kwa sababu hustaili.
 
Kama hujui kughushi ulighushia ya nini? Pia huwa unaangalia wa kumghushia wengine wanoko sana wakijua msala. Nenda ukaongee nae tu, ungama uombe fomu nyingine ujaze, kama una madeni yalipe upate saini hizo
 
Back
Top Bottom