Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 404
- 830
Hiyi inategemeana na poti hizi zangu hazipozi kwa muda wa masaa ma nne masaa nane labda yale ya chuma
Unamaanisha National!?Tafuta poti zinaitwa "nacional"
NacionalUnamaanisha National!?
๐๐Janabi siyo daktari wa maswala ya lishe aje atie neno?
Naona kama kuna virutubisho vitapotea kwa chakula kukaa muda mrefu hivyo kwenye joto.
sh ngapikama uko dar es salaam kwenye makutano ya mtaa wa sikukuu na aggrey kuna duka la wahindi hapo utapata ila zinakuwa mkasi kidogo..
๐๐๐Janabi siyo daktari wa maswala ya lishe aje atie neno?
Naona kama kuna virutubisho vitapotea kwa chakula kukaa muda mrefu hivyo kwenye joto.
Umenikumbusha janabi sijala matunda ninawiki๐๐Janabi siyo daktari wa maswala ya lishe aje atie neno?
Naona kama kuna virutubisho vitapotea kwa chakula kukaa muda mrefu hivyo kwenye joto.
Usiwaze sana mkuu hata nyanya ni tunda. Au unakula chakula kisichokuwa na nyanya pia?Umenikumbusha janabi sijala matunda ninawiki๐๐
Sili nyanya aisee labda iwe emergency ikipikiwa siwez kuzitoaUsiwaze sana mkuu hata nyanya ni tunda. Au unakula chakula kisichokuwa na nyanya pia?
Hata Nyanya ChunguSili nyanya aisee labda iwe emergency ikipikiwa siwez kuzitoa
Nyanya chungu nakula ๐Hata Nyanya Chungu