Ushauri: Hospitali gani Jijini Dar wanapima Covid-19?

Watanzania tunapitia hali ngumu haijawahi kutokea!Imagine mtu anafariki kwa Corona kisha ukoo mzima unamzika bila tahadhari zozote zile kisha ukoo mzima unaambukizwa Corona kisha ukoo huo unaanza shughuli ya kuambukiza koo nyingine mbalimbali huko nazo koo hizo zinaendelea kueneza huko!
 
Natamani nikujibu lkn sijajua ulichagua chama gani, anyway kwa msaada kidogo katika dawa unazokunywa tafuta azithromycin na panadol
mwana unampoteza mazima, azithromycin ni antibiotic zinatumika kutibu bacterial infections na cover ni virus yule. panaldo atatuliza maumivu tu
 
Wapendwa habari ya majukumu.

Naomba mwenye kujua aniambie, Nihitaji kujua hospitali inayo pima au kushugulika na matatizo ya COVID -19 nikapime mwenyewe kwa hiari yangu.

Nahitaji kupima maana, Wiki iliyopita Tar.10 nilikuwa kwenye msiba wa kaka yangu aliyefariki kwa matatizo haya ya upumuaji. Sasa mimi ni mmoja kati ya watu walioshiriki msiba kwa hatua zote na lazima nikiri kwamba hakukuwa na tahadhari za kutosha na mimi sikujali kabisa kulingana na maumivu niliyokuwa nayo ya kumpoteza kaka yangu.

Sasa leo ni siku ya nne mimi nasikia maumivu ya kifua yaani kama nina kitu kizito hivi nyuma ya mgongo pamoja na maumivu ya mwili kama dalili ya Malaria hivi, Cha ajabu wife nae anadai maumivu ya kifua tena yeye na kikohozi kigumu sana anakohoa sana tumepiga tangawizi, Malimao na kujifukiza pamoja na mazoezi saana lakini inapoa kidogo ina rudi hali vile vile.

Kilicho niogopesha zaidi leo dada wa kazi ameamka anadai mafua makali na muwasho kwenye koo nimeogopa sana, Mkumbuke juzi nilienda hospital mimi na wife tukapewa dawa za kifua ikiwemo Amoxicillin pamoja na dawa fulani za maji lakini wapi.

Sasa mimi nataka nikapime tu ili niokoe ndugu zangu maana wanakuja tu hapa home wala hawaelewi ukiwaambia wakae mbali. Mama yangu nae anakuja sana na umri yeye umeenda isitoshe nae tangu jana anadai anatapika mara kwa mara na mwili kuchoka sana Nachanganyikiwa kabisa mdugu zangu.
Nadhani kwa Tanzania hamna hospital iliyopewa kibali cha kupima covid-19, Covid inapimwa na maabara kuu ta taifa (National Public Health Laboratory) pale mabibo tu basi.

Hospitali nyingine zinakua kama vituo vya kuchukulia samples alafu wenyewe wanazipeleka maabara ya taifa kupimwa. Hivyo unaweza kwenda kwenye hospital zinazochukua sample zikapimwe national lab alafu majibu yatarudishwa kwenye hizo hospital utaenda kupatiwa majibu yako
 
mwana unampoteza mazima, azithromycin ni antibiotic zinatumika kutibu bacterial infections na cover ni virus yule. panaldo atatuliza maumivu tu

Kuna mtu aliandikiwa dawa zifuatazo, tena mtu mzima. She is alive and kicking. Zijaribu.
(Ascobic acid) yaaniVitamin C, Azithromicin, junior Aspirin, Dexamethon Parazone. Pedzinc na Vitamin D
 
Watanzania tunapitia hali ngumu haijawahi kutokea!Imagine mtu anafariki kwa Corona kisha ukoo mzima unamzika bila tahadhari zozote zile kisha ukoo mzima unaambukizwa Corona kisha ukoo huo unaanza shughuli ya kuambukiza koo nyingine mbalimbali huko nazo koo hizo zinaendelea kueneza huko!
Yaani ni Kama vile jamaa anatutoa kafara bila huruma, maana Kuna watu bila kiongozi kutoa tamko Basi hawaamini Kama Kuna tatizo
 
Natamani nikujibu lkn sijajua ulichagua chama gani, anyway kwa msaada kidogo katika dawa unazokunywa tafuta azithromycin na panadol.
Mkuu hivi dose ya Azthromycin ni vidonge vingapi?

Nilikunywa viwili kwa ajili ya UTI siku za karibuni sijui nilikuwa sahihi?
 
Wapendwa habari ya majukumu.

Naomba mwenye kujua aniambie, Nihitaji kujua hospitali inayo pima au kushugulika na matatizo ya COVID -19 nikapime mwenyewe kwa hiari yangu.

Nahitaji kupima maana, Wiki iliyopita Tar.10 nilikuwa kwenye msiba wa kaka yangu aliyefariki kwa matatizo haya ya upumuaji. Sasa mimi ni mmoja kati ya watu walioshiriki msiba kwa hatua zote na lazima nikiri kwamba hakukuwa na tahadhari za kutosha na mimi sikujali kabisa kulingana na maumivu niliyokuwa nayo ya kumpoteza kaka yangu.

Sasa leo ni siku ya nne mimi nasikia maumivu ya kifua yaani kama nina kitu kizito hivi nyuma ya mgongo pamoja na maumivu ya mwili kama dalili ya Malaria hivi, Cha ajabu wife nae anadai maumivu ya kifua tena yeye na kikohozi kigumu sana anakohoa sana tumepiga tangawizi, Malimao na kujifukiza pamoja na mazoezi saana lakini inapoa kidogo ina rudi hali vile vile.

Kilicho niogopesha zaidi leo dada wa kazi ameamka anadai mafua makali na muwasho kwenye koo nimeogopa sana, Mkumbuke juzi nilienda hospital mimi na wife tukapewa dawa za kifua ikiwemo Amoxicillin pamoja na dawa fulani za maji lakini wapi.

Sasa mimi nataka nikapime tu ili niokoe ndugu zangu maana wanakuja tu hapa home wala hawaelewi ukiwaambia wakae mbali. Mama yangu nae anakuja sana na umri yeye umeenda isitoshe nae tangu jana anadai anatapika mara kwa mara na mwili kuchoka sana Nachanganyikiwa kabisa mdugu zangu.

Kuna dawa hizi za asili nazo tumia vilevile.. haya ni mapambano makali usidharau.
1. Hadid covid19.
2 hadid Arch.
3.Halmit
Zinapatikana kariakoo maduka ya dawa asili. Watakuelekeza jinsi ya kutumia.
 
Kuna mtu aliandikiwa dawa zifuatazo, tena mtu mzima. She is alive and kicking. Zijaribu.
(Ascobic acid) yaaniVitamin C, Azithromicin, junior Aspirin, Dexamethon Parazone. Pedzinc na Vitamin D
Asante sana mkuu
 
Nilienda nikamweleza Dr. hali halisi lakini nikapewa dawa za kifua tu yaani kiufupi hizi hospital za kawaida changamoto ndio maana nataka niende hosptal inayo shughulikia ikiwemo kupima
Pole sana ndugu yangu, mimi nakushauri tu mfanye self isolation kwa muda kama unavyojuwa hakuna dawa hasa ya corona ila kikubwa kama unafeel homa kunywa tu panadol na jitahidi kula vyakula vinavyongeza immunity, natumaini mwili wako utavishinda hivi vidudu. watu waambie tu hali halisi na mama mkataze asije. kama Dr unaweza kumpigia akakupa ushauri wa kutumia. Tatizo Tz nzima wanapima maabara ya Taifa tu na kusudio lao majibu yatoke negative tu sasa watakula pesa yako 230K kwa kipimo halafu watajaza tu negative.
 
Mkuu ogopa sana nguvu ya kuujua ukweli.

Ukiujua ukweli unapata hofu,bora kuendelea kutembelea kwenye mabano.Chukulia Mme na mke wameishi kwa miaka kumi kwa amani na furaha tele,baadae mwanamme aje agundue kuwa mke ni mchepukaji hapo ndo utakua mwanzo wa migogoro katika familia na huenda mwisho wa ndoa,yote hii ni sababu ya nguvu ya kuujua ukweli.
 
Sasa unataka ukapime ili iweje kwenye tatizo ambalo halina dawa?

Dalili na mazingira vyote vinakueleza tatizo lako.

Sasa bado unaangaika na kujua tatizo?

Ushauri wangu hapo ni kuchukua hatua tu.,
Pambana kupiga nyungu ya kutosha maana katika hatua hiyo hata chanjo haina umuhimu tena kwako..

Na pia mkuu ONDOA hofu juu kufa,.
Kama haujanielewa vile:
Nakwambia hivi ONDOA hofu juu ya kufa.

Kifo kipo tu na hakikimbiwi.
TANZIA za JF zinamtisha, kila akiamka anakutana nazo mpya
 
Wapendwa habari ya majukumu.

Naomba mwenye kujua aniambie, Nihitaji kujua hospitali inayo pima au kushugulika na matatizo ya COVID -19 nikapime mwenyewe kwa hiari yangu.

Nahitaji kupima maana, Wiki iliyopita Tar.10 nilikuwa kwenye msiba wa kaka yangu aliyefariki kwa matatizo haya ya upumuaji. Sasa mimi ni mmoja kati ya watu walioshiriki msiba kwa hatua zote na lazima nikiri kwamba hakukuwa na tahadhari za kutosha na mimi sikujali kabisa kulingana na maumivu niliyokuwa nayo ya kumpoteza kaka yangu.

Sasa leo ni siku ya nne mimi nasikia maumivu ya kifua yaani kama nina kitu kizito hivi nyuma ya mgongo pamoja na maumivu ya mwili kama dalili ya Malaria hivi, Cha ajabu wife nae anadai maumivu ya kifua tena yeye na kikohozi kigumu sana anakohoa sana tumepiga tangawizi, Malimao na kujifukiza pamoja na mazoezi saana lakini inapoa kidogo ina rudi hali vile vile.

Kilicho niogopesha zaidi leo dada wa kazi ameamka anadai mafua makali na muwasho kwenye koo nimeogopa sana, Mkumbuke juzi nilienda hospital mimi na wife tukapewa dawa za kifua ikiwemo Amoxicillin pamoja na dawa fulani za maji lakini wapi.

Sasa mimi nataka nikapime tu ili niokoe ndugu zangu maana wanakuja tu hapa home wala hawaelewi ukiwaambia wakae mbali. Mama yangu nae anakuja sana na umri yeye umeenda isitoshe nae tangu jana anadai anatapika mara kwa mara na mwili kuchoka sana Nachanganyikiwa kabisa mdugu zangu.
Kama uko Dar nenda pale Maabara kuu ya Taifa mabibo, lakini lazima uwe na passport. Jipange sana lakini kwa gharama na Maumivu
 
Sasa unataka ukapime ili iweje kwenye tatizo ambalo halina dawa?

Dalili na mazingira vyote vinakueleza tatizo lako.

Sasa bado unaangaika na kujua tatizo?

Ushauri wangu hapo ni kuchukua hatua tu.,
Pambana kupiga nyungu ya kutosha maana katika hatua hiyo hata chanjo haina umuhimu tena kwako..

Na pia mkuu ONDOA hofu juu kufa,.
Kama haujanielewa vile:
Nakwambia hivi ONDOA hofu juu ya kufa.
Kifo kipo tu na hakikimbiwi.
Kupima inasaidia ili kama ni positive unawakinga watu ambao wapo karibu na wewe. Kama mwenyewe alivyoeleza watu wanaenda tu kwake hawajali na ana wazazi. Mimi nchi niliyokuwepo unatakiwa kupima Mara 2 kwa wiki.mwanzo niligoma ( uoga tu) baadae nikaelezewa maneno yakaniingia. na Nina watoto ambayo inanisaidia kuwakinga in case of anything. Trust me ukimuambukiza mtu wako wa karibu ambae mfano yeye anaumwa kuliko wewe maana kila mtu na kinga zake unaji feel guilty
 
Wapendwa habari ya majukumu.

Naomba mwenye kujua aniambie, Nihitaji kujua hospitali inayo pima au kushugulika na matatizo ya COVID -19 nikapime mwenyewe kwa hiari yangu.

Nahitaji kupima maana, Wiki iliyopita Tar.10 nilikuwa kwenye msiba wa kaka yangu aliyefariki kwa matatizo haya ya upumuaji. Sasa mimi ni mmoja kati ya watu walioshiriki msiba kwa hatua zote na lazima nikiri kwamba hakukuwa na tahadhari za kutosha na mimi sikujali kabisa kulingana na maumivu niliyokuwa nayo ya kumpoteza kaka yangu.

Sasa leo ni siku ya nne mimi nasikia maumivu ya kifua yaani kama nina kitu kizito hivi nyuma ya mgongo pamoja na maumivu ya mwili kama dalili ya Malaria hivi, Cha ajabu wife nae anadai maumivu ya kifua tena yeye na kikohozi kigumu sana anakohoa sana tumepiga tangawizi, Malimao na kujifukiza pamoja na mazoezi saana lakini inapoa kidogo ina rudi hali vile vile.

Kilicho niogopesha zaidi leo dada wa kazi ameamka anadai mafua makali na muwasho kwenye koo nimeogopa sana, Mkumbuke juzi nilienda hospital mimi na wife tukapewa dawa za kifua ikiwemo Amoxicillin pamoja na dawa fulani za maji lakini wapi.

Sasa mimi nataka nikapime tu ili niokoe ndugu zangu maana wanakuja tu hapa home wala hawaelewi ukiwaambia wakae mbali. Mama yangu nae anakuja sana na umri yeye umeenda isitoshe nae tangu jana anadai anatapika mara kwa mara na mwili kuchoka sana Nachanganyikiwa kabisa mdugu zangu.
Pole mkuu, Mimi nilipatwa na dalili kama hizo. Doc akaniambia ni dalili za covid. Dawa alizonipatia na zilinisaidia tuliambiwa tupate dozi 2 na mke wangu ni: 1. Hidrokloroquin,2. aspirin, 3. athromizing, 4. flagil,5. vitamic c, na 6. dexamethason.
Namba 1 & 2 ndio mhimiri mkuu. Kama hutojali tumia dawa hizi, kujifukiza ni hatari zaidi na malimao nk sio dawa bali ni lishe kwaajili ya kuimarisha kinga. Ugonjwa ukishaanza inahitaji medical reaction kukabiliana.
 
Nakushauri usipime isee,,hofu utakayoitengeneza ni zaidi ya ugonjwa wenyewe.. tafuteni hizi hizi tiba mtumie familia yote
 
Back
Top Bottom